We will Miss alot Jota and Jone’s services. Ila MF ya Endo, Macca & Szobo itakuwa poa sana. Good thing we have Bradley. Pep alichanga karate zake upande wa Trent this time around tuone ataamua kupitia wapi.
If Salah is fit kuelekea mechi hiyo, aanzie bench no need to risk much. Return inaonesha 10/3
I think our line up will be
Kelleher
Bradley
Konate
Vvd
Robbo
Endo
Macca
Szobo
Nunez
Diaz
Gakpo/Elliot
Kama Salah atacheza dk zozote on thursday basi j’2 ataanza
I was very close to ready Klopp’s mind.
Injury ya Konate [emoji777]
Gomez ameanza LB[emoji777]
Klopp naona atamtumia Gomez kuingia ndani kwenye kiungo ili kumruhusu Endo atembee na Rodri ( jamaa ndiye link ya City) ku close gap hilo. Gomez as an Inverted LB. Klopp kawa impressed sana na Gomez na majority tunaweza kukubaliana nae he is in a good form.
Nilitoa option mbili ya Elliot or Gakpo. Klopp kaanza na Elliot (he is good, quick and has right decision).
Bradley atacheza RHS pure unlike akiwa Trent anaingia ndani wakati wa kushambulia.
Salah ameachwa as precaution nadhani kwa sababu mbili
1./ hajawa 100% fit kucheza mikiki mikiki.
2./ international break hiyo hapo, na Klopp amerisk ili asiitwe NT.
A well balanced team though.
Tactical subs without enforcement of cards injuries or/and bad performance.
Bradley for Robbo
Salah for Szobo
Gakpo for Diaz
Wengine itategemea na matokeo na performance ya City pia.
Best of luck to the boys no injury concern anymore God forbid.
Liverpool win/draw.
YNWA