Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pale nyuma majeruhi yametuadhiri..
Hakuna Alison
Hakuna Matip
Hakuna Trent
Hakuna Robbo(bench)

Tuna amateur pale nyuma
Bradley (amateur)
Quansah (amateur)

Kwa hali hii tunahitaji vijana wacheze kama unit kuliko siku zote..

Manchester City wao wana full kikosi pale mbele Foden, Haland, Silva,Alvez.

YNWA
 
Naunga mkono hoja
 
VVD will lead them to victory
20240310_183052.jpg
 
Diaz hajawa mtulivu
Elliot hajawa mtulivu.

Hao wachezaji wawili wanatosha kuwachinja hawa city vizuri kabisa.
Elliot sijui alikua besti wa Henderson yaani dogo mipira yote anataka kurudisha nyuma hata simwelewi huyu dogo.. Diaz nae mishe ni nyingi sana leo ni kua accurate sio bla bla za hapa na pale...

YNWA
 
Back
Top Bottom