Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Ukweli utatuweka huru, hii game ni kama ile ya arsenal tu, tunafungwa
Duh mbona sielewi sema tunashinda tu
Naunga mkono hojaPale nyuma majeruhi yametuadhiri..
Hakuna Alison
Hakuna Matip
Hakuna Trent
Hakuna Robbo(bench)
Tuna amateur pale nyuma
Bradley (amateur)
Quansah (amateur)
Kwa hali hii tunahitaji vijana wacheze kama unit kuliko siku zote..
Manchester City wao wana full kikosi pale mbele Foden, Haland, Silva,Alvez.
YNWA
Namfunga huyuLeo pep ameamua awajie kivingine View attachment 2930552
Leo ndio mwisho wa ndoto ya ubingwa,unapigiwa hapo nyumbani kwako π€£ππDiaz hajawa mtulivu
Elliot hajawa mtulivu.
Hao wachezaji wawili wanatosha kuwachinja hawa city vizuri kabisa.
Elliot sijui alikua besti wa Henderson yaani dogo mipira yote anataka kurudisha nyuma hata simwelewi huyu dogo.. Diaz nae mishe ni nyingi sana leo ni kua accurate sio bla bla za hapa na pale...Diaz hajawa mtulivu
Elliot hajawa mtulivu.
Hao wachezaji wawili wanatosha kuwachinja hawa city vizuri kabisa.
Bado Yuko vizuri mpaka iishe tuliza moyo jombaElliot sijui alikua besti wa Henderson yaani dogo mipira yote anataka kurudisha nyuma hata simwelewi huyu dogo.. Diaz nae mishe ni nyingi sana leo ni kua accurate sio bla bla za hapa na pale...
YNWA