hii ndio sababu anauwezo mkubwa,namba zinambeba hakuna kingine mkuu.Sikososi usajili wa huyu Kocha iwapo Uongozi utaamua kumchukua kwasababu siwezi kujua future events kama atafanikiwa au hatafanikiwa lakini to be honest mpaka sasa sijajua kwanini amekuwa Highly rated huyu Kocha.
Hakuna kipimo chochote cha mafanikio alichonacho kwasabau hajawahi kuwa Kocha wa mafanikio kwenye Ligi yoyote kati ya 5 big Leagues (EPL, Serie A, La Liga, Bundesliga and Leagu 1).
Bado nina kumbukumbu nzuri sana za Adre Villas Boas alipofanikiwa kule Ureno akiwa na Matakwimu ya kutisha kama Amorim Chelsea wakaingia kichwakichwa wakamchukua akaishia kutaka kuwashusha daraja.
But iwapo atachukuliwa nitaweka matumaini juu yake na naamini anaweza kufanikiwa iwapo tutampa muda kama tulivyompa Klopp wa kujenga Timu (3 Years) na akawa financially supported kutoka kwa Litajiri letu.
😂😂😂kusajiri Mchezaji au Kocha au watendaji wengine Kuna njia zake au mapitio yake.Sikososi usajili wa huyu Kocha iwapo Uongozi utaamua kumchukua kwasababu siwezi kujua future events kama atafanikiwa au hatafanikiwa lakini to be honest mpaka sasa sijajua kwanini amekuwa Highly rated huyu Kocha.
Hakuna kipimo chochote cha mafanikio alichonacho kwasabau hajawahi kuwa Kocha wa mafanikio kwenye Ligi yoyote kati ya 5 big Leagues (EPL, Serie A, La Liga, Bundesliga and Leagu 1).
Bado nina kumbukumbu nzuri sana za Adre Villas Boas alipofanikiwa kule Ureno akiwa na Matakwimu ya kutisha kama Amorim Chelsea wakaingia kichwakichwa wakamchukua akaishia kutaka kuwashusha daraja.
But iwapo atachukuliwa nitaweka matumaini juu yake na naamini anaweza kufanikiwa iwapo tutampa muda kama tulivyompa Klopp wa kujenga Timu (3 Years) na akawa financially supported kutoka kwa Litajiri letu.
hii ndio sababu anauwezo mkubwa,namba zinambeba hakuna kingine mkuu.
View attachment 2958932
Captain Marvelous hivi kwa mfumo huu huyu Nunez si atatamani kupata injury mara kwa mara ? 🤣🤣🤣
Arsenal wangetumia akili hii wasingelikuwa na Arteta muda huu.Sikososi usajili wa huyu Kocha iwapo Uongozi utaamua kumchukua kwasababu siwezi kujua future events kama atafanikiwa au hatafanikiwa lakini to be honest mpaka sasa sijajua kwanini amekuwa Highly rated huyu Kocha.
Hakuna kipimo chochote cha mafanikio alichonacho kwasabau hajawahi kuwa Kocha wa mafanikio kwenye Ligi yoyote kati ya 5 big Leagues (EPL, Serie A, La Liga, Bundesliga and Leagu 1).
Bado nina kumbukumbu nzuri sana za Adre Villas Boas alipofanikiwa kule Ureno akiwa na Matakwimu ya kutisha kama Amorim Chelsea wakaingia kichwakichwa wakamchukua akaishia kutaka kuwashusha daraja.
But iwapo atachukuliwa nitaweka matumaini juu yake na naamini anaweza kufanikiwa iwapo tutampa muda kama tulivyompa Klopp wa kujenga Timu (3 Years) na akawa financially supported kutoka kwa Litajiri letu.
Source ya hii habari Mkuu 🤔[emoji599] 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆! Rúben Amorim: “I did 𝐍𝐎𝐓 meet with Liverpool for any interview and there’s 𝐍𝐎 agreement with any club, it’s not true” [emoji837][emoji1201]
“I’m Sporting manager and I want to win titles here… I didn’t meet clubs. Trust me, nothing has been agreed”.
“Stop with this story! It’s the last time I speak about it”.