Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo lazima mchukue ila tunawataka muendelee kulipambania mpaka kipara akate tamaaImeisha hiyo, kwa hali hii league tutachukua kweli? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣 🤣 🤣 Kutesa kwa zamu.Kizembe tu unapakatwa na wahuni😂😂😂😂
Kubwakwa ni kubakwa tu😁🤣🤣, una maneno mabaya sanaKilope mwenye jina la kitapeli la Klopp amesema kwenye interview kuwa ni kweli wamebakwa ila kwa mbinde Sana 😂
Labla kuna utofauti wa kubakwa kwa mbinde na kubakwa bila kukaza 😂Kubwakwa ni kubakwa tu😁🤣🤣, una maneno mabaya sana