Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kukulism niaje 😆🤣
FB_IMG_17128743443393740.jpg
 
Hii timu kuna haja ya kuvunjwa vunjwa na kuijenga upya. Endo mwenyewe kuna kipindi anakaza sana yaani anakamia mechi ila kuna kipindi anakuwa mlaini
 
Back
Top Bottom