Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp ndio anaechelewesha maendeleo ya Liverpool akili yake imefika mwisho imezeeka na huo ndio ukweli na mtu akishazeeka anafanya vituko
 
Mpaka hapa kama hauwezi tofautisha pep na Klopp kwenye kutafuta mataji ...basi wewe Ni kiazi ....

Game ya Namna hii mbele unajua kabisa kuna kombe pep hawezi cheka na nyani [emoji28][emoji28][emoji28]

Kwenye Champion League tulipompiga nje ndani kwenye Robo huyo Pep hakujua kuwa Kombe mbele yake?

Alipopigwa Fainali na Chelsea huyo Pep hakujua kuwa mbele yake kuna Kombe?

Au unaongelea Pep gani na Kombe gani labda?
 
Yaani miaka 9 EPL 1 bado Kuna mijitu inamtetea klopp na Jana tumekula kipigo anfield ukweli ni kwamba mzee akili zimeisha akafuge njiwa ujerumani
Kabla ya Klop tulifanya nini cha maana? heshima ya Liverpool imeanza kurudi kipindi cha Klop kabla tulikuwa kama unavyoiona Man united. Budget ndogo lakini kajichanganya na big spenders.
 
Kabla ya Klop tulifanya nini cha maana? heshima ya Liverpool imeanza kurudi kipindi cha Klop kabla tulikuwa kama unavyoiona Man united. Budget ndogo lakini kajichanganya na big spenders.
Mzee Kaa mbali kabisa Liverpool imeshatoka huko Sasa hivit
Kabla ya Klop tulifanya nini cha maana? heshima ya Liverpool imeanza kurudi kipindi cha Klop kabla tulikuwa kama unavyoiona Man united. Budget ndogo lakini kajichanganya na big spenders.
Tumia akili kichwani tunaangalia tunapoenda sio nyuma klopp kaferi aende wake wengine full stop
 
Hesabu Makombe yote aliyobeba Man City wakati Arteta yupo pale hayo ndiyo mafanikio yake.
Huwezi kumtoa kwenye hilo.

Je bado unauliza mafanikio ya Arteta?
itakuwa akili ya kushikiwa kuhesabu makombe ya Pep kuwa ni makombe ya Arteta.
 
Kabla ya hiyo miaka 9 mlikua na mda gani hamjachukua hiyo Epl?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sisi tunapiga hesabu za mbele wewe unaleta mambo ya nyuma huna akili kwahiyo kama hatukua
Hii failure ni both kwa FSG na Klopp

Isielekezwe kwa Klopp pekee
Tattozo namba 1 ni klopp fsg wapo sawa sio tatizo lao sababy klopp alijua anaenda kufanya kazi kwenye klabu ya aina Gani na akasaini mkataba
 
Back
Top Bottom