Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jamaa ataweza yupo vizuri sana pale sporting na ureno ni ligi Bora sana sio laini ki hivyo kama Scotland
Sijasema ni Makombe ya Arteta bali nimesema ni Mafanikio ya Arteta.
Huwezi kuhesabu Makombe ya City wakati Arteta yupo bila ya kumuhesabu na yeye.

Sikulazimishi uamini hivyo lakini ndiyo ilivyo.

Kwa Klopp tulimuheaabu Buvac alipokuwa msaidizi wake hivyo na kwa Pep Arteta yupo.

Na hoja yangu ya msingi mimi sijajadili Makombe bali nilijadili ukubwa wa Ligi usinihamishe kwenye Mada tafadhali.

Nilichohoji mimi ni hype anayopewa Amorim kupitia Takwimu zake za Ligi ya Matopeni ni kwamba hazina uhalisia linapokuja suala la EPL.

Wewe ukaleta habari za Arteta, nikakujibu Arteta ametoka EPL, ndiyo hapa ukaja na habari za Makombe jambo ambalo halikuwa hoja yangu.

Wala hoja yangu haikuwa kumkataa Amorim kwasababu sijasema kuwa hafai, bali nimehoji jinsi anavyokuwa over hyped kupitia Ligi ya Mchangani.

Hata Gerrard, Brendan Rodgers walikuwa na Takwimu za kutisha kule Scotland lakini EPL ni kituko.

Na ndiyomana nimemtolea mfano Andre Villas Boas.

Huwezi kufananisha Mtu aliyetoka Ligi ya Mchangani na Artena aliyetoka kuwa Kocha msaidizi ndani ya EPL tena kutoka top team.
 
Juzi hapa tulikuwa tunagawa dozi mfululizo na kuongoza ligi, tukawa tunalia Klopp kwanini Mungu ameruhusu kuondoka mwisho wa msimu.

Tumepoteza mechi chache leo tumejeuka tunasema Klopp hafai ni takataka aondoke haraka sana.

Kweli binadamu ni kiumbe cha ajabu sana hata ukicheza kwenye maji atasema unamtimulia vumbi

Waangalie hao wanaomdharau Klopp ni joined JF 2022 baada ya kumaliza Sekondari na ndiyomana hatuwachukulii serious hapa.
 
Klopp ameshazeeka akili unabisha nini wakati tumecheza UEFA fainali mwaka juzi na Madrid na kikosi chetu ndio kilikua Bora akashindwa mbinu ya kumfunga Madrid Kwa kumuweka firmino benchi anakuja kukumbuka shuka kumekucha tumeshafungwa ndio anamuweka firmino kama sio kuzeeka nini huko
Klopp bado ni Kocha bora.
Kwa kikosi alichonacho na majeruhi waliyopata kuwa juu katika Table (2nd after Arsenal) ni uthibitisho tosha wa ubora wake.
 
Juzi hapa tulikuwa tunagawa dozi mfululizo na kuongoza ligi, tukawa tunalia Klopp kwanini Mungu ameruhusu kuondoka mwisho wa msimu.

Tumepoteza mechi chache leo tumejeuka tunasema Klopp hafai ni takataka aondoke haraka sana.

Kweli binadamu ni kiumbe cha ajabu sana hata ukicheza kwenye maji atasema unamtimulia vumbi
Mkuu bila shaka hua unaangalia Mech... Ishu sio Klopp tu mbali ni ufundishangi wake especially kwenye ishu ya kufunga magoli aidha tuna upungufu wa makocha hio idara ama tuna wachezaji ambao kufunga kwao hawafundishiki especially Nunez... Katika mechi 3 tulizokutana na Manchester United tuna shoti zaidi ya 50 golini lakini je tumeambulia magoli mangapi..
Rate conversion ya Liverpool msimu huu ni 10 kwenye Ligi ina maana hata ubibgwa kwa kufuata stat hati hati kuukosa aisee...

YNWA
 
Unaambiwa MO Salah alikataa kuondoka uwanjani baada ya kufungwa 3

20240412_202050.jpg
 
Kwenye Champion League tulipompiga nje ndani kwenye Robo huyo Pep hakujua kuwa Kombe mbele yake?

Alipopigwa Fainali na Chelsea huyo Pep hakujua kuwa mbele yake kuna Kombe?

Au unaongelea Pep gani na Kombe gani labda?
Anaongelea kuhusu Pepsi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu bila shaka hua unaangalia Mech... Ishu sio Klopp tu mbali ni ufundishangi wake especially kwenye ishu ya kufunga magoli aidha tuna upungufu wa makocha hio idara ama tuna wachezaji ambao kufunga kwao hawafundishiki especially Nunez... Katika mechi 3 tulizokutana na Manchester United tuna shoti zaidi ya 50 golini lakini je tumeambulia magoli mangapi..
Rate conversion ya Liverpool msimu huu ni 10 kwenye Ligi ina maana hata ubibgwa kwa kufuata stat hati hati kuukosa aisee...

YNWA
Dah magoli anayokosa Nunez yangefanikiwa kuwa mabao ingekuwa balaa
 
Wale ambao wanamjua Gerrard ni kocha lakini hawajui kama amewahi kuichezea Liverpool [emoji1][emoji1][emoji1]
Klopp ameshashindwa ila watu hawataki kukubali tuu

Justification yao ni hiyo 1epl in 9 years, wanasahau kuwa pia ndiye kocha aliyepewa pesa nyingi zaidi ya usajili kuliko waliomtangulia

Hii inamaanisha klopp akikaa liverpool miaka mingine 9, itakua 2epl in 18yrs

Kocha wa hivi ni kwa timu isiyo na ambition ya makombe kama Arsenal
 
We unaongea nini wewe??
Arsenal Haina ambition ya makombe kivipi?
 
Ukihesabu makombe yote kuanzia vi community shield mpaka UCL kwa miaka hiyo anakuwa ameshinda mangapi?
 
We unaongea nini wewe??
Arsenal Haina ambition ya makombe kivipi?
Arsenal ambayo msimu uliopita iliongoza ligi kwa point 7 kabisa dakika za mwisho ikaukosa

Ikatoka Europa kimasihara ili i focus kwenye ligi

Mwisho ikatoka tropyless
 
Arsenal ambayo msimu uliopita iliongoza ligi kwa point 7 kabisa dakika za mwisho ikaukosa

Ikatoka Europa kimasihara ili i focus kwenye ligi

Mwisho ikatoka tropyless
Timu isiyo na ambition ya makombe, ikikosa kombe haiumii na Wala hawana mpango wa kuboresha kikosi chao

Arteta na Edu ili wairudishe timu kwenye ramani, walikaa chini wakaamua kutengeneza phases za project.

Kwenye phases, phase ya timu kuanza kuchallenge makombe ni phase ya 4, phase ya 5 ni kuifanya Arsenal iwe the best in the world

Sasa unaposema Arsenal Haina ambition ya makombe tunakuwa hatukuelewi, wakati mashabiki tunaona kabisa direction ya timu yetu
 
Klopp ameshashindwa ila watu hawataki kukubali tuu

Justification yao ni hiyo 1epl in 9 years, wanasahau kuwa pia ndiye kocha aliyepewa pesa nyingi zaidi ya usajili kuliko waliomtangulia

Hii inamaanisha klopp akikaa liverpool miaka mingine 9, itakua 2epl in 18yrs

Kocha wa hivi ni kwa timu isiyo na ambition ya makombe kama Arsenal
Mkuu katazame Net spend ya Klopp utaona ni ndogo mno kuliko unavyodhani.. Kwa kua ameuza wachezaji wengi na kwa bei powa sana inampa net spend y wastani..

Hili la kutochukua Kombe zaidi ya mara moja mpaka sasa lina maelezo mengi mengi lakin hayasaidii wala kufuta ukweli kwamba Kipara ametumbuliza kisawa sawa na sio tu kwa sababu wana pesa lakin kwa sababu Kipara ni kocha bora zaidi ya Klopp,... Klopp analetaga mahaba ksa wachezaji hata kama hawampi anachotaka na hii ndio imetupelekea kua wasidikizaji Champions League na EPL akiwepo Klopp..

Upande mwingine amejitahidi sana kupambana na Oiled Manchester City huku akiwa na mabosi ma Yankees wenye kuangalia zaidi mapato kuliko vingine...

Hakuna ku justify hili la EPL moja akiwepo Liverpool. Hakika hapo amefeli sana na hii pia inatokana na nguvu yake pale klabuni. Klopp word is final na hii iliwapa akina Edwards mazingira magumu mpaka wakaamua kuodoka kwa kua hawakua huru kutekeleza majukumu yao.

Tutazame yajayo chini ya mwamba Edwards nina imani watafanyia kazi mapungufu yaliopo.

YNWA
 
Back
Top Bottom