Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kitu kimoja kikubwa alichokifanya Klopp kwa Liverpool ni kugeuza ile mentality ya ma yankees na wachezaji kuwa liverpool is no longer a selling club kama ilivokua zamani

Ilikua mpaka Arsenal eti wanatutishia nyau kutuchukulia our top players
Hua nafarijika sana kuona wachezaji wakichagua Liverpool kubaki na kuhamia. Hii yote ni kwa sababu ya Klopp mojo.
Amepambana sana kujenga misingi namna ya kusonga mbele kwa kutumia kikosi alichonacho na ana mapungufu kama binadamu wengine hivyo tunavumilia yote aisee lakini palipofikia sasa ni wakati asepe tupate new ideas, new dimensions, new manager, new system akiwa guru Edwards pale juu na new ambition,... Here we go.

YNWA
 
Hii GD na Arsenal inatakiwa ianze kupunguzwa kuanzia leo. Jamaa katuzid goal 9. Easy leo tukipunguza hata 2 au tatu.
Away vs Westham
Aston villa
Everton
Fulham

Hapo kuna sare mbili kabisa naziona kwa huu uchezaji wa kuungaunga na beki iliyo uchi inayoruhusu magoli mepesi kila mechi
 
Kipara is bad news... Klopp angekua na nusu ya moyo wa Kipara alivyo kauzu walahi ubingwa EPL ni zaid ya mara 3 hivi lakin Klopp anatanguliza utu sana, hana kuweka utu pembeni kwa mafanikio makubwa ya klabu.. Pep yeye anakuchana laivu bila kupepesa maneno utasikia Grealish hana kiwango cha kuingia 1st eleven ama fulani kwa sasa apambane huko mazoezini kwanza ndio atapata namba yaan yupo brutal mno n his methods delivers ndio maana anatuburuzaaaa.

YNWA
 
❗️RΓΊben Amorim has already made a decision but won't announce it yet. Portuguese coach will leave @SportingCP at the end of the season regardless of whether he wins titles or not. It's the end of the road for Amorim ahead of Sporting.

βœ… Official statement after the last game.
 
Ngoja niangalie kuhusu mjadala mmoja wa kitoto sana wa wale wanaosema angekuepo Jota tungemfunga Manure.

Kuna hii michezo 4 yote Jota amecheza ambayo 3 kati yao Jota ameanza na mmoja amecheza kwa dakika 45 za kipindi kizima cha pili.

Kwanini hatukushinda kama kweli mechi akicheza Jota lazima tushinde?

Ilikuwaje tukafungwa michezo miwili kati ya minne?

Kwanini iwe ajabu kwa Manure tu na kuleta habari za kufikirika kwamba akicheza Jota ushindi lazima?

Vijana fuatilieni mpira kwa umakini mutajifunza mengi baadae kwasababu mpira si one man show ni team work.
Game ikishakataa Jota pekee hana uwezo wa kubadilisha chochote kama tunavyoona hapo Arsenal alitupia mikwaju 3 ya maana huku yeye akiwa anarukaruka tu kama senene. πŸ‘‡







 
Mzee usipende ligi sana kwenye kila jambo ukizingatia hii ni open forum kila mtu anamaoni tofauti, Vingine utakuwa unajichosha unaacha vinapita.
 
Kuna wachezaji wanatakiwa kuondoka Liverpool, yaani timu inatakiwa kufumuliwa endapo kocha mpya atakuja na ijengwe upya.

Salah-peleka ualabuni huko endapo watamuhitaji

Lucho- huyu kunatetesi PSG wanamuhitaji hvyo aende tu

Darwin Nunez - huyu tumuweke sokon hata kwa 30M hata kama anamkataba wa miaka 100 [emoji23][emoji23]

Cody Gakpo - auzwe tu huyu

VVD - Umri umeenda auzwe tu huyu

Ryan - Huyu mwamba hamtaona mabadiliko yoyote apigwe bei tu.

Joel Matip - Auzwe tu huyu hata kwa 1M inatosha.
 
Ukimtoa salah hakuna best finisher zaid ya jota, tena ata salah anamzid jota sababu ya kutopata majeruhi mara kwa mara,apo ndo watu wanataman jota awepo uwanjan kwa mechi ambayo tulitengeneza nafasi za kufunga zaid ya tisa..NB elewa neno BEST FINISHER
 
Huyo jamaa ndio anatakaga mawazo yako yasikilizwe hahahaaaaa
 
Mzee usipende ligi sana kwenye kila jambo ukizingatia hii ni open forum kila mtu anamaoni tofauti, Vingine utakuwa unajichosha unaacha vinapita.

Sio kwamba napenda ligi ila nakataa myth wakati based facts zipo.

Huwezi tu kuniletea myth za kuwa angekuwepo fulani tungeshinda wakati alikuwepo tukafungwa halafu niwe yes boss.
 

Sijawahi kujadili kuhusu ubora wake bali napingana na waliotaka kuwaaminisha watu kuwa hatukumfunga Manure kwasababu Jota hakucheza huku wakifumbia macho kuwa Arsenal alitupiga kipigo kitakatifu tukiwa na Jota uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…