Afande Macha
Member
- Oct 12, 2023
- 69
- 93
Kuwa muelewa.Hasira zako za kuzaliwa na wazazi wa Riverside unataka kuzimalizia kwangu sio?
Umekosaje adabu kiasi hiki mpaka unashindwa kuchagua maneno ya kumjibu mtu?
Sisi tunaelekea mwisho ujueUnapita unyumbuni kila siku Nkamu unavyojisikia sisi tumezoea nadhani unatuona😃😃😃
Mchukuen De zerbi mapema la sivyo mwakani tutakuwa tutachekana tuuSisi tunaelekea mwisho ujue
MkuuAcha uxenge...
Bado mechi kadhaa zimebakia.
Mchukuen De zerbi mapema la sivyo mwakani tutakuwa tutachekana tuu
Mmeshatangaza nani atachukua mikoba...??Nashangaa sijui wameokota wapi kocha mpya yule
Tumepigwa😂💔
Sio kwamba tunaona hajafanya chochote, bali tunaiona timu haina future tena chini yakeNyie mnaomponda Klopp na kuona hajafanya lolote
Subirini aje kocha ambaye haeleweki
Uone tunavyopoteana kama Chelsea
Mtamkumbuka Klopp naaambia.
Jamaa mmoja wa maporini hukoMmeshatangaza nani atachukua mikoba...??
Lakini alishasema kuwa anaondokaSio kwamba tunaona hajafanya chochote, bali tunaiona timu haina future tena chini yake
Hii ilionekana misimu miwili mitatu nyuma
Mwendo kwenye ubingwa mmeumaliza imani ya kupambana na arsenal na city mmeilinda mpumzike nafasi ya tatu kila mwana liverpool aitikie AMINA kubwa.
Nyie ndo mnaombea WW3 kuliko arsenal kua bingwaHili kombe kuliko achukue mama sita
Bora litupwe
VipiNyie ndo mnaombea WW3 kuliko arsenal kua bingwa