Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

GK5nXK8WIAENKrh.jpeg
 
Klopp anabeba asilimia ndogo ya lawama. Wachezaji kama NUNEZ ndio wanatakiwa waangushiwe jumba bovu.
Yeye ndie aliyeathiri wachezaji kwa kutangaza kuondoka kwake wachezaji wanacheza wakiwaza ajae watapata no ama vip ama wao watakuwa wapi.
 
toka klop atangaze kuondoka, game zetu zimekua na tension sana, ushindi wetu haujawa wa kuridhisha katika game nyingi tulizoshinda......
siku za karibuni ndio imekua chamgamoto zaidi, tumekua tukipata ushindi wa 'kubahatisha sana'



thank you jurgen, tutakukumbuka kwa mengi.....

Tena atangaze usiku wa leo kuwa anaondoka LiverpoolFC tutateuwa Kocha wa Mpito amalizie msimu
 
Tuliwaambia ndugu zetu upepo wenu utakata mbio ndefu hamuwezi mkawa mnaishi kwa historia

Saint Anne upitie livescore unisreenshotie matokeo na msimamo View attachment 2963638
Hii timu imekuwa ya kipumbavu sana
Pumbav sana liver 🚮

All the best Arse8 Wajaa laana
Toeni gundu la kutoka mikono mitupu
 
Toka ile mechi ya utd timu imekuwa ya kishenzi tu
Klopp hata kama ni kuchoka not to that extent kubabeki🚮🚮🚮
 

Attachments

  • IMG-20240414-WA0036.jpg
    IMG-20240414-WA0036.jpg
    528.2 KB · Views: 4
Back
Top Bottom