Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Washkaji mnazingua.Nyi mnajua kabisa sisi kipara hatuwezi kukimbizana naye af mnatupa taulo mapema [emoji2][emoji2][emoji2]
dua zetu ni kwenu kwa kweli mtuwakilishe msife moyo tuko na nyie hata kama tutaishia hapa hope badae utampiga aston villa nyingi.
 
toka klop atangaze kuondoka, game zetu zimekua na tension sana, ushindi wetu haujawa wa kuridhisha katika game nyingi tulizoshinda......
siku za karibuni ndio imekua chamgamoto zaidi, tumekua tukipata ushindi wa 'kubahatisha sana'

thank you jurgen, tutakukumbuka kwa mengi.....
 
sitaki hata kumzungumzia aniache kabisa manina bora angemaaliza msimu ndio atangaze ama angesepa palepale alipotangaza. Ndio ana historia nzuri na clabu ila hatukutarajia kumaliza nae hivi.
 
Tuliwaambia ndugu zetu upepo wenu utakata mbio ndefu hamuwezi mkawa mnaishi kwa historia

Saint Anne upitie livescore unisreenshotie matokeo na msimamo
20231212_150016.jpg
 
toka klop atangaze kuondoka, game zetu zimekua na tension sana, ushindi wetu haujawa wa kuridhisha katika game nyingi tulizoshinda......
siku za karibuni ndio imekua chamgamoto zaidi, tumekua tukipata ushindi wa 'kubahatisha sana'

thank you jurgen, tutakukumbuka kwa mengi.....
Klopp kihere here chake,angesubiri kutangaza kuondoka kwenye game ya Mwisho wa ligi angepungukiwa nini

Wachezaji saikolojia haipo kabisa uwanjani
 
Back
Top Bottom