verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 2,930
- 5,913
Lete msimamoVipi
Ngapi huko ndugu mjumbe?
Ligi imeisha city akikuacha point moja unajua nini kinafuataLigi imemalizika?
Nae atapoteza pointsLigi imeisha city akikuacha point moja unajua nini kinafuata
Hah baaasiLigi imeisha city akikuacha point moja unajua nini kinafuata
Sion wakumzuia pale hawaNae atapoteza points
llikuuma kwa nn?Ile ya 3-3 iliniuma sana kuliko hii.
2013/14 sio kweli kuwa Crystal palace walizizika ndoto za kuwa bingwa Bali ni Chelsea Tena ile blunder ya Gerrard ya back pass ya Demba Ba hata Crystal palace angefungwa ubingwa ungeenda City tu
- 2013/14 Crystal Palace walizizika ndoto zetu za kubeba Ubingwa.
- Kombe alibeba Man City.
- 2023/24 Crystal wanazizika tena ndoto zetu za kubeba Ubingwa.
- Ni miaka 10 imepita, Je kombe atabeba tena City? Mimi kura yangu ipo kwa Arsenal.
Hatuna timu mtani🤠🤠...Guardiola amefanya makocha wengine wte waonekane ni vilaza....sina hamu hata ya kubishana na kina Flano...wacha nikae kimya leo tutakanwe weeee...wakishachoka watanyamaza...Vipi
Ngapi huko ndugu mjumbe?
Hahahaha na Pep bado yupo yupo sana, dirisha la usajili anaongeza nondo nyingine.Hatuna timu mtani[emoji1783][emoji1783]...Guardiola amefanya makocha wengine wte waonekane ni vilaza....sina hamu hata ya kubishana na kina Flano...wacha nikae kimya leo tutakanwe weeee...wakishachoka watanyamaza...
Baada ya sisi kushindwa nimeamua kuwatakia barakaHatuna timu mtani🤠🤠...Guardiola amefanya makocha wengine wte waonekane ni vilaza....sina hamu hata ya kubishana na kina Flano...wacha nikae kimya leo tutakanwe weeee...wakishachoka watanyamaza...
Anza mazoezi sasa ya kutoangalia EPL kwa mechi zilizobaki kwa sababu pep anaenda kubeba ubingwa tena na msimu ujao tenaBaada ya sisi kushindwa nimeamua kuwatakia baraka
Kumbe hamzitaki.
Akichukua kipara naacha kuangalia EPL
Haina mvuto tena.
Ni kama uchaguzi wa Tz usivyo na mvuto,ishibde CCM kila siku.
ekukaBaada ya sisi kushindwa nimeamua kuwatakia baraka
Kumbe hamzitaki.
Akichukua kipara naacha kuangalia EPL
Haina mvuto tena.
Ni kama uchaguzi wa Tz usivyo na mvuto,ishibde CCM kila siku.
Ladies and gentlemen, we've got a brand new farmers league in town.Hili kombe kuliko achukue mama sita
Bora litupwe
Ubingwa mtausikilizia mat*****ni