Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Too much kosa kosa kwa Nunez, Salah, Gapko, Jota, Diaz yaani aidha wanaacha shooting boots nyumbani ama wamechoka tu na hii ni tatizo.Kwahiyo Nunez hafundishiki tena!ama unamaanisha nini?
YNWA