Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


It's not over until it's over

Nitaweka imani ya Ubingwa till the last drop as long as mathematically haijawa impossible.
 
Tunachukua mwaka huu
Imani yangu ipo hivyo bado

YNWAπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Niliposema haya maneno baada ya kupoteza mchezo wa leo watu walinicheka lakini mimi nasimamia haya maneno mpaka game ya mwisho ya 38.

Huu msimu tunabeba Kombe la EPL naendelea kusisitiza.

Saint Anne bado unawasiwasi na Ubingwa?
 
naona mipasho mingi na Maneno ya kihuni
Sasa ukiandika Maneno ya kihuni na kibangi ndio utaonekana wa mjini?
acha ulimbukeni bwana Mdogo,bangi sio chai..huu ni mtandao wa kijamii sio kijiwe Cha bangi
 
Kitu kingine nikionacho ni kuwa kocha mpya anatakiwa asajili wachezaj wafuatao
1.central Defender who can play left back
2.Quality Defensive mid
3.New quality winger who can replace salah
4.Central striker
5.new right back
where we can get money
1.sell salah 70-100m
2.sell Diaz 50-70m
3.sell Jones 25-30m
4.sell Tsimikas 30m
5.sell Gravernberch 30m

NB:Nunez should be given the last chance to prove his worth
 
ilitakiwa ikuume mechi ya Chelsea ya 2-0 sio ya palace, uache kuumia mechi ya Chelsea uumie ya palace kweli? wakati timu ilikuwa ishaloose hope
Nimejibu kwa muktadha wa maoni ya mdau juu ya Crystal palace.

Tungekua tunazungumzia Chelsea basi ningeongelea Gerrard alivyomzawadia Demba ba goli.
 
Huwezi amini unamaliza ligi na carabao TU πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

But Rent boys will finish the League with Eleventh Position Cup. manake tokea ukae hapo unaongoza hakuna wa kukuondosha hivyo lazima ushinde tu kombe la kwenye hiyo nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…