Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Acha nije kupumzika huku. Kule kwetu nzi kibao mpaka giza mtu haoni mbele.

Sasa washkaji zetu, huyu kipara tumuache tuendelee na mipango ya ulaya au tukomae naye?
Hahaha Mkuu wakati mnapokezana kijiti kuongoza league CITY alikuwa anawalia timing tuu ya ku-overtake, Sasa mmerahisishia mbio baada ya nyie kuacha njia na kuingia machakani.
 
Also Sell Nunez 20M
 
Acha nije kupumzika huku. Kule kwetu nzi kibao mpaka giza mtu haoni mbele.

Sasa washkaji zetu, huyu kipara tumuache tuendelee na mipango ya ulaya au tukomae naye?
Hapo andika tuu maumivu, Bayern anaenda malizia hasira kwako

Epl ishapeperuka
FA ushatoka

Jipange tuu kwa msimu ujao
 
Sawa EPL tukubali City ni wakali zaidi, ila hata Europa sisi ni wakupigwa 3 nyumbani na Atalanta?

Sasa hii timu inatofauti gani na ya Roy hodson
 
Acha nije kupumzika huku. Kule kwetu nzi kibao mpaka giza mtu haoni mbele.

Sasa washkaji zetu, huyu kipara tumuache tuendelee na mipango ya ulaya au tukomae naye?
Si mlijaa kama nzi Jana humu kuchekelea liver kufungwa
Mkasahu kutia zenu maji [emoji23][emoji23][emoji23]

Sisi ndio mabingwa

YNWA
 
Mashabiki wa Liverpool ndio maana tunaonekana walevi wote....
Mtu yupo kwenye nafasi ya kugombea ubingwa tena kaachwa kwa point 2...tayari kafail....dah!!

Hao wengine 17 waliobaki kwenye ligi tuseme wamefaulu???

Mpaka dakika hii Klopp ana kombe 1 msimu huu kitu ambacho hata huyo unayemuona kafaulu hana....sasa mnataka nini?
Kufungwa na Palace ndio kafail? Timu imepoteza game 3 kama huyo unayemuona wa maana ila yeye hajafail ni Klopp tu....

Sasa ukiona Klopp anakuboa nenda kwa Garmond ...sio wewe tu nenda na jopo lako lote tukutane next season.
 
Ukitazama stat utaona Liverpool hua mara kwa mbili tulizokosa ubingwa hivi karibuni ni kwa kua tulitoa sana sare aisee na kufungwo hua nadra.. Adui wa Klopp kukosa ubingwa ni sare zinakua nyingi sana.. Hilo ndio lakutibu.

Kimsimamo tupo mahala sahihi kuna gemu za kutosha atakaeteleza kati ya Citizens na Gunners tutakua tena pazuri.. Hapo ni kwamba tusipoteze tena hata gemu moja ama kutoa sare. Hilo inawezekana kabisa kwa kua nafasi za kufunga zinatengezwa nyingi tu umakini wa kumalizia ndio haupo kwa vijana.

Hawa wanaomchoka Klopp take its easy man, we all want the same outcome ushindi.

YNWA
 
Mimi huwa nawashangaa sana watu wanaosema Klopp hana mafanikio. Ukiangalia timu ilipotoka kabla ya Klopp kuja na ilipo sasa anapokaribia kuondoka, sisi Arsenal tunasema yeye ndiyo kocha bora wa Liverpool kwa miaka kama 40 hivi ya karibuni.
 
Shearer


“As we saw at Anfield and Emirates Stadium on Sunday, pressure does funny things at this stage of the season - even to the best players and teams”


"No-one expected Liverpool and Arsenal to end up both being beaten this weekend, but I've been in their situation myself and this is what happens in a title run-in, especially in must-win games at home.


“If you don't score early, everyone gets very nervy.”


"So, I know it will have felt exactly the same for the Gunners, who were desperate to make the breakthrough against Aston Villa, as it did for Jurgen Klopp's side when they were left chasing their game after Crystal Palace went ahead."




Shearer added:


"When you get to the final part of the season one bad week can undo months of hard work - and Liverpool have just had a terrible week.


"I actually thought that their defensive performances have been a real strong point for them for large parts of this campaign, even though Alisson, Trent Alexander-Arnold and Andy Robertson have missed long spells of it through injury.


"So, the last few days have been a big surprise in terms of how easily and how often they have been opened up, firstly by Atalanta in the Europa League and then by Palace.


"They were misfiring in attack on Sunday too.


“Liverpool have fought back from losing positions to earn 27 points this season, but it was probably after they had missed their third sitter on Sunday that I started to think it was going to be one of those days for them where nothing goes in.


"But, while it's true that Liverpool missed some big chances, so did the Eagles. Jurgen Klopp's side were very open and I don't think they can complain about the result, even if it is a pretty devastating one for their title hopes."
 
Alan Shearer believes Liverpool can't have too many complaints following their Crystal Palace defeat - despite the result being "devastating" for their title hopes.

The Reds toiled and frequently threatened Dean Henderson's goal but were undone by Eberechi Eze's first-half strike
Luis Diaz, Mohamed Salah, Diogo Jota, Darwin Nunez and Curtis Jones were left frustrated by Oliver Glasner's side.
Both Liverpool and Arsenal were looking to keep up the pace with Pep Guardiola's men but suffered respective defeated
Shearer suggests that the pressure is getting to the title-chasers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…