Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Anajaribu mno mpaka anapitiliza mwishowe anaharibu. Wish apate utulivu wa kichwa aisee.

YNWA
Kipindi yuko Benfica alikua hakosi magoli ya wazi kiasi hiki, Binafsi ni katika wachezaji niliokua nawahusudu mno na nilitamani sana angetua Old Trafford, huyu jamaa nilikua nikimuangalia youtube namuona kabisa Torres kwenye miguu yake, sijui hata nini kimempata, inawezekana ni presha ya kuchezea timu kubwa.
Ila naamini atabadilika na inawezekana yeye ndie ataibeba mikoba ya Salah na ataimbwa hapo Anfield kama anavyoimbwa huyo Faraoh wa Egypt.
 
Upo sahihi ndugu huyu dogo akiwa Benfica akicheza lone 9 ilikua balaa sanaa aisee shinda inaanza kwetu mara apangwe LW mara CS yaani naa spidi ya Ligi EPL haimpi muda wa majaribio maana wenye timu na mashabiki tunataka kuona results sio bla bla.
Atakuja kua bora kwa kua anajituma mno mazoezini na uwanjani pia bidii ipo... Level za Torres kwa sasa tuwe na subira tu.

YNWA
 
Hadi kaka mtu umechoka kumtetea?
Akiyanani
Mvumilivu hula mbivu zilizooza😂

Nilisema mimi huyu Nunez utakuja tu kuchoka kumvumilia,ukasema atatuprove wrong😆😂😂😂
🤣🤣🤣Unaota wewe si bure. Nani amchoke Nunez? Nasimama nae mpaka mwisho wa safari yake Anfield.. Changamoto yangu ni hawa mafowadi wetu ni kwamba kwa pamoja sasa wamekua wanachangamoto ya kufunga magoli yaan hakuna mwenye afahdali sio Salah, Gapko, Nunez, Jota

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…