Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Tupo nafasi ya 10+ with shot accuracy pale EPL na pambaya ni kwamba hakuna timu iliwai chukua ubingwa EPL ikiwa na poor shot convert ya 6 ikashinda ubingwa.
YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo nafasi ya 10+ with shot accuracy pale EPL na pambaya ni kwamba hakuna timu iliwai chukua ubingwa EPL ikiwa na poor shot convert ya 6 ikashinda ubingwa.
😂😂😂😂😂😂Hz ndio hoja za copy and paste? Angeniambia Captain Marvelous kuwa sina hoja kweli ningetulia ila ww wa copy and paste huniumiz kichwa.
😂😂😂😂😂Naweza coment ninacho jisikia usinipangie kitu cha kupost ndugu, sijaku tag na sikuwahi kukutag kwahyo ni kiherehere chako.
Kwan uongo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saint Anne umemwedea kwa Babu mwenye namba ya HB wako Bobby si bure ujue... Ebu mwachilie amalize na magoli kama mvua tunyanyue kwapa.
Amepambana sana. Next season anahitaji proper DM ili yeye na Domy wasogee mbele zaidi..
Wakati mnamsajili Nunez binafsi niliamini mmempata Fernando Torres mpya, ila kwa hizi kosakosa zake sina imani kama atakuja kufikia hata nusu ya level ya Torres.
Anajaribu mno mpaka anapitiliza mwishowe anaharibu. Wish apate utulivu wa kichwa aisee.Wakati mnamsajili Nunez binafsi niliamini mmempata Fernando Torres mpya, ila kwa hizi kosakosa zake sina imani kama atakuja kufikia hata nusu ya level ya Torres.
Kipindi yuko Benfica alikua hakosi magoli ya wazi kiasi hiki, Binafsi ni katika wachezaji niliokua nawahusudu mno na nilitamani sana angetua Old Trafford, huyu jamaa nilikua nikimuangalia youtube namuona kabisa Torres kwenye miguu yake, sijui hata nini kimempata, inawezekana ni presha ya kuchezea timu kubwa.Anajaribu mno mpaka anapitiliza mwishowe anaharibu. Wish apate utulivu wa kichwa aisee.
YNWA
Anajaribu mno mpaka anapitiliza mwishowe anaharibu. Wish apate utulivu wa kichwa aisee.
YNWA
Si mlisema hata akina Salah wanakosaSaint Anne umemwedea kwa Babu mwenye namba ya HB wako Bobby si bure ujue... Ebu mwachilie amalize na magoli kama mvua tunyanyue kwapa.
YNWA
Upo sahihi ndugu huyu dogo akiwa Benfica akicheza lone 9 ilikua balaa sanaa aisee shinda inaanza kwetu mara apangwe LW mara CS yaani naa spidi ya Ligi EPL haimpi muda wa majaribio maana wenye timu na mashabiki tunataka kuona results sio bla bla.Kipindi yuko Benfica alikua hakosi magoli ya wazi kiasi hiki, Binafsi ni katika wachezaji niliokua nawahusudu mno na nilitamani sana angetua Old Trafford, huyu jamaa nilikua nikimuangalia youtube namuona kabisa Torres kwenye miguu yake, sijui hata nini kimempata, inawezekana ni presha ya kuchezea timu kubwa.
Ila naamini atabadilika na inawezekana yeye ndie ataibeba mikoba ya Salah na ataimbwa hapo Anfield kama anavyoimbwa huyo Faraoh wa Egypt.
Tukomae nae tuu kibishi mwanangu huwezi jua yetu mmoja anaweza pata zali.Acha nije kupumzika huku. Kule kwetu nzi kibao mpaka giza mtu haoni mbele.
Sasa washkaji zetu, huyu kipara tumuache tuendelee na mipango ya ulaya au tukomae naye?
🤣🤣🤣Unaota wewe si bure. Nani amchoke Nunez? Nasimama nae mpaka mwisho wa safari yake Anfield.. Changamoto yangu ni hawa mafowadi wetu ni kwamba kwa pamoja sasa wamekua wanachangamoto ya kufunga magoli yaan hakuna mwenye afahdali sio Salah, Gapko, Nunez, JotaHadi kaka mtu umechoka kumtetea?
Akiyanani
Mvumilivu hula mbivu zilizooza😂
Nilisema mimi huyu Nunez utakuja tu kuchoka kumvumilia,ukasema atatuprove wrong😆😂😂😂
Mchango wake wa magoli msimu huu pia si haba. Sijui kwanini wanyamwezi wanamu underrate sana.Si mlisema hata akina Salah wanakosa
Ni kitu cha kawaida😂😂😂