Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bado hujasema πŸ˜‚
Niseme nini tena? Unajua huwa nashindwa kuwaelewa mnaokuwa mnaandika maneno yasiyo faa hadharani bila hata kujifikiria unadhani ni watu wangapi wanasoma humu? Hivi wewe mtaani kwako unaweza ukasimama tu hadharani ukaanza kusema maneno yasiyofaa?
 
Niseme nini tena? Unajua huwa nashindwa kuwaelewa mnaokuwa mnaandika maneno yasiyo faa hadharani bila hata kujifikiria unadhani ni watu wangapi wanasoma humu? Hivi wewe mtaani kwako unaweza ukasimama tu hadharani ukaanza kusema maneno yasiyofaa?
Na utasema πŸ˜‚
 
Binti kwema? 😁
 
β€οΈπŸ‘‹πŸ» JΓΌrgen Klopp’s final European night in charge of Liverpool was not the expected one…

…but he decided to go and say thanks to travelling fans in Bergamo after their incredible journey in 9 years 🎩

One Champions League, one UEFA Super Cup, one Club’s World Cup as international trophies he won.

Memories and pure love that will stay 𝐟𝐨𝐫𝐞𝐯𝐞𝐫. 🎞️πŸ₯²


 
πŸ₯‡| Liverpool have scouted Sporting centre-back Goncalo Inacio β€œfor a long time”. [#FabrizioRomano for #caughtoffside]

 
Ruben Amorim's arrival at Liverpool will ACCELERATE the possible arrival of Goncalo Inacio. The Portuguese coach prefers to play with three at the back and values the partnership between Diomande and Inacio.

πŸ₯ˆ Jornal de Noticias
 
Yani mpaka sasahivi hakuna anayeweza kutoa facts za kueleweka kuhusu overrated Amorim.

Huyu Kocha kama anakuja aje tu atengeneze career yake hapa Liverpool lakini sio kumpa hype kupita kiasi.

Iwapo atakuwa supported kifedha na akapatiwa Wachezaji wanaoendana na Mfumo wake basi akiwa makini atafanikiwa ndani ya Liverpool.

Lakini kwasasa hana mafanikio na ubora wowote anaosifiwa nao.
 
Leaked 2024-2025 Kits zina tofauti gani na zile za misimu mitatu iliyopita za New Balance?
 
Ruben Filipe Marques Amorim ana miaka 39 mzaliwa wa Ureno. Ni shabiki wa Benfica.

Alistaafu 2018 akiwa ameshinda mataji matatu ya Ligi (2010,2014 na 2015) akichezea Benfica, Ureno.

Idol wake ni Jose Morinho na Mwaka 2018 alitua pale Trafford kupata ujuzi zaidi kutoka kwa Jose.

Raisi wa Sporting alionekana mwehu kulipa ada ya Poud 8.6m ili Amorim atue Sporting Lisbon baadhi ya mashabiki walitaka ajiuzulu kwa kucheza kamali ile ya usajili wa Amorim akitokea Bragga ambapo alishinda taji la Ligi.

Msimu wake wa kwanza alishinda taji la Ligi Ureno na Sporting Lisbon baada ya kuikosa kwa miaka 20. Alishinda taji hilo kwa kucheza mechi 32 bila kupoteza hata mchezo mmoja.

Aliwafunga Benfica kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 65.

Anaongea kingereza safi.

Ni muumini wa kutumia wachezaji kutoka Academy.

Mfumo wake pendwa ni 3 4 3. Anacheza zaidi high defensive line. Huu mfumo wakati wanazuia unakua 5 2 3

Baadhi ya wachezaji maarafu waliopita kwenye mikono yake ni Mathew Nunes wa Man City
Jaoa Palinha wa Fulham
Medes wa PSG
Pedro Porro wa Tottenham nk nk

Ni mtalaam wa kuongea na wachezaji one on one jambo ambalo husaidia wachezaji kuelewa anachotaka uwanjani.

Ana mahusiano mazuri sana na media, mashabiki, wachezaji na uongozi. Hii inatokana na jamaa ni expert communicater.

Ni mchapa kazi mpaka anachokitaka kieleweke na wachezaji wake.

kwa kua Sporting Lisbon ni timu ya kuuza sana wachezaji amejikuta hakuweza kutetea ubingwa wake wa kwanza pale Ureno lakin msimu huu bila shaka anashinda taji lake la PIli la Ligi Ureno.

Namkaribisha Liverpool kwa mikono miwili kwa kua hatuna fedha za wauza mafuta tunahitaji kocha anaejua kukuza na kutumia vipaji kutoka academy na kwa kua sub 5 ndio mpango naamini wengi watapata nafasi.

Amecheza Mech 150 tangu aanze kua Mwalimu ameshinda asilimia 76 ametoa sare 15% amepigwa 9%.

Ameshinda mataji matano (Ligi moja na mengine manne) pale Sporting.

Alikua kocha bora wa Ligi Ureno mwaka 2021

Nk nk

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…