Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yani mpaka sasahivi hakuna anayeweza kutoa facts za kueleweka kuhusu overrated Amorim.

Huyu Kocha kama anakuja aje tu atengeneze career yake hapa Liverpool lakini sio kumpa hype kupita kiasi.

Iwapo atakuwa supported kifedha na akapatiwa Wachezaji wanaoendana na Mfumo wake basi akiwa makini atafanikiwa ndani ya Liverpool.

Lakini kwasasa hana mafanikio na ubora wowote anaosifiwa nao.
Tumepigwa
Huyu kocha wa maporini tumepigwa

Heri hata angekuja Tuchel
 
Kampeni yetu ni ile ile.

Sisi tumefanya yetu jana (wale kenge sijui walikuwa wanatuchukuliaje? Walidhani tumesahau kupiga mikono au?).

Leo na nyie mfanye yenu. Wote tukigawa dozi kwa maboya mpaka msimu uishe sisi tutakuwa mabingwa na nyie mtakuwa makamu bingwa. Tukiteleza sisi, nyie mnabeba.

Mbele kwa mbele. Kono la nyani FC aka wababe wa ligi, wakisindikizwa na Livakuku kumletea Kipara angalau kaushindani.
 
Kastaafu mpira 2018?
Na tayari ni kocha na Liverpool tunamchukua kuwa kocha Mkuu [emoji15]
Mbona bado hana uzoefu wa kutosha?
Sawa na Gerrard tu mliyesema bado ni kinda kushika timu kubwa kama Liverpool.

Haya ngoja tuone..
Kama anajua, anajua tu. Acha aje.
 
Kampeni yetu ni ile ile.

Sisi tumefanya yetu jana (wale kenge sijui walikuwa wanatuchukuliaje? Walidhani tumesahau kupiga mikono au?).

Leo na nyie mfanye yenu. Wote tukigawa dozi kwa maboya mpaka msimu uishe sisi tutakuwa mabingwa na nyie mtakuwa makamu bingwa. Tukiteleza sisi, nyie mnabeba.

Mbele kwa mbele. Kono la nyani FC aka wababe wa ligi, wakisindikizwa na Livakuku kumletea Kipara angalau kaushindani.
Lolote baya liwakute leo Hawa ndugu zetu....hakunaga urafiki wa kusindikizana kwny mafanikio
 
Lolote baya liwakute leo Hawa ndugu zetu....hakunaga urafiki wa kusindikizana kwny mafanikio
Tunawahitaji hawa kuku boss. Na wao wanatuhitaji. Bila hivyo, Kipara na 115 FC yake atatusumbua mpaka atakapostaafu. Labda huyo kocha mpya wa kuku aje kufanya maajabu.
 
View attachment 2972156
Wataalam King Ngwaba, The MoNA, Captain Marvelous munaweza kutupatia ufafanuzi kidogo hapa

Huwa sikubaliani na hizi analysis za Wachanbuzi kwenye kuevaluate ufanisi wa Kocha.

Kama utategemea hizi Analysis basi huwezi amini kuwa ndani ya Miaka 8 Klopp ana EPL moja tu na Champion League moja tu.

Mimi ni muumini wa Makocha wanodeliver uwanjani haijalishi wanacheza mpira gani ndoyomana sikubaliani na analysis za Amorim.
 
Tumepigwa
Huyu kocha wa maporini tumepigwa

Heri hata angekuja Tuchel

Inaonekana kwenda West Ham imeshashindikana hivyo tunaye tu huyu jamaa.

Screenshot_20240423-135510.jpg
 
Back
Top Bottom