Andry Carroll analishinda mbali hiyo JingaHuyu ni Andy Carol wa sasa.
Naam wapi Saint AnneFriends of Everton tuendelee kukiwasha ๐
Bado arsenal ๐ Ila nahisi huyu ataenda vzr mpaka game la mwisho ila ndio hvy Man City tupo vzrMafuta yanajitenga na maji
Nunez ni Galasa kabisa anakosa nafasi nyingi sana.Ni bora kuanza na Jayden Danns kuliko huyu Yakubu wa NigeriaView attachment 2973164