Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abaki Man City tuu, liver alishindwa kumpata city kwa point moja tuu sasa ndo aje aweze Arsenal kazidiwa point mbili.?Sasa nimuweke nani?
Aston villa katugharimu sana.
Usiwadharau arsenal, wana timu bora sana,City anaondoka na huu Ubingwa bila shida mana sioni atafungwa na nani game zilizobakia na pia Arsenal lazima ataharibu mbele hapo Arsenal sio tishio kwa city
Si ilikuwa derby...Everton wanavyoshangilia utadhani wamebeba kombe kumbe hawaendi kokote...kwli mchawi wako hatoki mbali aisee🤣🤣
😀😀 wahuni wana mahasira afu unazidi kuwarusha stimuAlison tangu arejee kutoka majeruhi amekuwa mtamu sana 😂 wahuni wanajipigia tuu
Leo brighton ataushangaza ulimwengu wa sokaAbaki Man City tuu, liver alishindwa kumpata city kwa point moja tuu sasa ndo aje aweze Arsenal kazidiwa point mbili.?
Pep kabeba tena kwan bado mnamatumain yapiDerby na iheshimiwe.
Gemu zilizosalia kwa Arsenal, ngumu, ngumu, ngumu mno. Arsenal tuna mlima wa kupanda.😢
View attachment 2973209
Nikiweka ushabiki pembeni kwa mechi zilizosalia Manchester city ana nafasi kubwa sana ya kuchukua ubingwa.
View attachment 2973210
Pole 😂Leo brighton ataushangaza ulimwengu wa soka
FT brighton 2-2 man city
Kama shabiki lia lia nnaekonda kwa stress za arsenal mwisho wa msimu bado nna matumaini ila Pep sio mtu mzuri kabisa ni tishio.Pep kabeba tena kwan bado mnamatumain yapi
Wakija nawaitia Everton 😂😀😀 wahuni wana mahasira afu unazidi kuwarusha stimu
wanakuvutia kasi,wanakuja na gubu zao
Ngoja uonePole 😂
Angalia mechi alizonazo na mlizonazo...Kama shabiki lia lia nnaekonda kwa stress za arsenal mwisho wa msimu bado nna matumaini ila Pep sio mtu mzuri kabisa ni tishio.
sijui yule mrembo wa liva anajisikiaje kwasasaWakija nawaitia Everton 😂
Huyu dak 30 tu hii comment utakuja ufuteLeo brighton ataushangaza ulimwengu wa soka
FT brighton 2-2 man city
Gemu ngumu hapo ni ya totenham na everton, man utd najipigia.Angalia mechi alizonazo na mlizonazo...
OT kwa man U hamtoki mnajua hilo kwa Tot nako ni hayo hayo😂😂
Msiende na matokeo uwanjani wakuu mtaumbuka.Huyu dak 30 tu hii comment utakuja ufute
Sura halisi ya Pep ndipo inapokuja kuonekana wakati kama huu.
unakumbuka games za mwisho alikuwa anacheza na Aston Villa dkk ya 70 amepigwa mbili lkn mpaka dkk ya 85 anaongoza 3 😂 sasa yule ndie Pep.
Sura halisi ya Pep ndipo inapokuja kuonekana wakati kama huu.
unakumbuka games za mwisho alikuwa anacheza na Aston Villa dkk ya 70 amepigwa mbili lkn mpaka dkk ya 85 anaongoza 3 😂 sasa yule ndie Pep.
Arsenal anachukuaDerby na iheshimiwe.
Gemu zilizosalia kwa Arsenal, ngumu, ngumu, ngumu mno. Arsenal tuna mlima wa kupanda.😢
View attachment 2973209
Nikiweka ushabiki pembeni kwa mechi zilizosalia Manchester city ana nafasi kubwa sana ya kuchukua ubingwa.
View attachment 2973210