Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Sikupingi mkuu ila sijui kama city atadondosha points.Arsenal anachukua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikupingi mkuu ila sijui kama city atadondosha points.Arsenal anachukua
Ligi kisha nukaa asee muda wa poda haupoMsiende na matokeo uwanjani wakuu mtaumbuka.
Mpira hauko hivyo, hao Westham wanaweza kuifunga City na hao wengine hata sare wanaweza toa na Man City. Halafu pia Arsenal mwaka huu wapo serious sanaa na hili kombeSikupingi mkuu ila sijui kama city atadondosha points.
Usiwadharau arsenal, wana timu bora sana,
Mpira waliocheza leo everton ndio mpira wa arsenal na ndio mpira hata wa yanga walipocheza na mamelodi pale south
Kwamba mpira haupo hivyo wa kufungwa awe ni city tu na sio arsenal? Kama ni hivyo kombe si lingeshakuwa letu mda?Mpira hauko hivyo, hao Westham wanaweza kuifunga City na hao wengine hata sare wanaweza toa na Man City. Halafu pia Arsenal mwaka huu wapo serious sanaa na hili kombe
Ila Pep ni tishio sana, huyo kocha sijui ni nini kitamnyima makombe.Ligi kisha nukaa asee muda wa poda haupo
Ngoja liver waje na kimeo chao mwakani warudi walipo kuwaIla Pep ni tishio sana, huyo kocha sijui ni nini kitamnyima makombe.
Mkuu nitakumumbusha muulize Liverpool kilichomkuta OtGemu ngumu hapo ni ya totenham na everton, man utd najipigia.
Acha wapitie msoto na wao.Ngoja liver waje na kimeo chao mwakani warudi walipo kuwa
Man utd hii kwa arsenal ni wepesi sana HT tutakuwa tumeshajihakikishia 3 points.Mkuu nitakumumbusha muulize Liverpool kilichomkuta Ot
Sasa hv wahuni wanakugonga hapo hapo nyumbani kwako mbele ya watoto na mke wako 😂Liverpool last 4weeks:
Lost at home to Atalanta❌
Lost at home to Crystal Palace❌
Knocked out of Europa League❌
Lost at Everton❌
Mm kama friends of brighton tupo tayari kwa kipigoAnakandwa vzuri tu na Brighton...tumeshaanua mkeka pale goodison Park sasa tunaelekea American express stadium kuweka makao pale🤠🤠...ni mwendo wa kuwanga mpk kieleweke
Kama kawaida n rahisi sana watu wazima kupigwa kwenye mechi ambazo wanahitaji ushindi wa kufa kuponasijui yule mrembo wa liva anajisikiaje kwasasa
kuna timu zinajua kuharibu mood za watu
kwasasa klop anaonekana ndezi tu,wanaona bora ya baba ubaya
Hao wote vibonde kwa arsenalDerby na iheshimiwe.
Gemu zilizosalia kwa Arsenal, ngumu, ngumu, ngumu mno. Arsenal tuna mlima wa kupanda.😢
View attachment 2973209
Nikiweka ushabiki pembeni kwa mechi zilizosalia Manchester city ana nafasi kubwa sana ya kuchukua ubingwa.
View attachment 2973210
Mlimfunga eti?Mkuu nitakumumbusha muulize Liverpool kilichomkuta Ot
Yes, yanga, ile mechi ya south walicheza kama everton, sema tu wao hawakushindaYanga? 🤣🤣
200%Arsenal anachukua
Balaa la city hakuna ambae halijui, huwa wapo vizuri sana.Hao wote vibonde kwa arsenal
Hakuna wa kumzuia
Sema tu city apiteze japo moja au draw tu inatosha, anazidiwa magoli