Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

City anaondoka na huu Ubingwa bila shida mana sioni atafungwa na nani game zilizobakia na pia Arsenal lazima ataharibu mbele hapo Arsenal sio tishio kwa city
Usiwadharau arsenal, wana timu bora sana,
Mpira waliocheza leo everton ndio mpira wa arsenal na ndio mpira hata wa yanga walipocheza na mamelodi pale south
 
Everton wanavyoshangilia utadhani wamebeba kombe kumbe hawaendi kokote...kwli mchawi wako hatoki mbali aisee🤣🤣
Si ilikuwa derby...

Mashabiki kindakindaki wa Liverpool wanasema bora wakose ubingwa ila sio kufungwa na Everton...

Umeona sasa wanavyoshangilia😂😂
 
Derby na iheshimiwe.

Gemu zilizosalia kwa Arsenal, ngumu, ngumu, ngumu mno. Arsenal tuna mlima wa kupanda.😢
Screenshot_20240425_002409.JPG

Nikiweka ushabiki pembeni kwa mechi zilizosalia Manchester city ana nafasi kubwa sana ya kuchukua ubingwa.
Screenshot_20240425_002446.JPG
 
Anakandwa vzuri tu na Brighton...tumeshaanua mkeka pale goodison Park sasa tunaelekea American express stadium kuweka makao pale🤠🤠...ni mwendo wa kuwanga mpk kieleweke
Sura halisi ya Pep ndipo inapokuja kuonekana wakati kama huu.

unakumbuka games za mwisho alikuwa anacheza na Aston Villa dkk ya 70 amepigwa mbili lkn mpaka dkk ya 85 anaongoza 3 😂 sasa yule ndie Pep.

Sura halisi ya Pep ndipo inapokuja kuonekana wakati kama huu.

unakumbuka games za mwisho alikuwa anacheza na Aston Villa dkk ya 70 amepigwa mbili lkn mpaka dkk ya 85 anaongoza 3 😂 sasa yule ndie Pep.
 
Back
Top Bottom