Hizi story za BR kutimuliwa zikiwa kweli nitakuwa kama nimebatizwa kwa mara ya pili vile! Ntafanya party ya nguvu sana siku hiyo! Sadly,i can't see him being sacked anywhere soon.
Unadhani nani anafaa baada ya BR
binafsi natamani br asepe tu! maana falsafa yake ya kununua wachezaji sijaipenda, unaenda kununua wachezaji lundo ambao hawana msaada, kumbuka kizazi alichokileta benitez na kukuza alichokikuta
hatuna spine
we need a strong holding na strong box to box... hendo is the shadow of himself and Gerro is tired kukaa nyuma, anataka mbele na yeye (vijana wamemjulia kwa nyuma)
Tuweke majeshi ya mbio au tusahau kushinda hata mechi moja
wangempa Emre na Lucas wahold halafu Cou na Gerro wawe attacking middle, winger awe sterling na adam striker awe borini with back up from Gerro in attack, tutafunga over four goals
MSIMU USHAISHA HUU!
Cant believe we're paying that nigga 150k kwa kukaa tu jukwaan na mashabiki kuangalia mpira kwasababu ya majeruh ya kijinga jinga!!!!
So its 4-3-2-1 again!!
FSG need to sell this CLUB
BR and his LFC transfer commitee has to GO!!!
we've spent over £115 this summer just to rely on a Injury prone ST!!..
nobody hires players to sit on the bench
look at arses and manure, lots of injuries as well
its tough out there
sijapenda ulivyomuita nigga... is that hasira au nini mkuu?? imagine wewe unamwita nigga, hao wazungu wa liverpool watamwita nani?
There was further bad news for Liverpool as
England boss Roy Hodgson told media after their
win over Scotland that Jordan Henderson has
been struggling with a minor hamstring injury.
diaby akikusikia atacheeeeekkaaaWachezaji wanapata majeruhi lakin jamaa kazid aisee..ishakuwa too much..mara ya 13 hii anaumia...hatuwez tukawa tunamtegemea mtu kama huyo!!!
Last season hatukuona pengo lake coz we had Suarez..lakin msimu huu yeye ndo our main ST..asa kwa mtindo huu tutafika wapi??
BR ataanza kushinda Jumapili hii na atachukua momentum kuanzia hapo!!
Dan na Sterling wataanza mbele tutashinda tu