Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,622
Hizi story za BR kutimuliwa zikiwa kweli nitakuwa kama nimebatizwa kwa mara ya pili vile! Ntafanya party ya nguvu sana siku hiyo! Sadly,i can't see him being sacked anywhere soon.
Unadhani nani anafaa baada ya BR