Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji599][emoji15] ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Klopp and Salah were arguing with each other on the touchline today! [emoji837][emoji91]

Darwin Nรบnez had to step in after what seemed to be a heated exchange between Salah and Jurgen Kloppโ€ฆ

[emoji779]๏ธ Salah didnโ€™t make the starting XI vs West Ham.
 
[emoji599][emoji15] โ€œIf I speak today, there will be ๐…๐ˆ๐‘๐„!โ€, Salah says while he was leaving the stadium [emoji91]

Few minutes before, Jurgen Klopp said that โ€œthe caseโ€™s closed, we spoke in the dressing room and thatโ€™s doneโ€.

Tense situation after Liverpoolโ€™s poor form in April [emoji2962]
 
Klopp is too soft yaani hawa wachezaji hua wanamchezea mno... Ingekua Fergie wapate hairdryer treatment na heshima ingekuwepo..

Aongeee nini sasa huyu Salah. We need goals sio maneno ya fire bla bla.

YNWA
 
Kama game ya everton aliharibu sana kubadili winnin formula

Faza keshachoka
Ndio maana anapumzika ameishiwa pumzi..
He is tooo soft kwa wachezaji maana hata pale wanaleta vichwa yeye yumo kuwatetea na kusimama wapewe mkataba mirefu... Ameingilia sana kazi za wasaidizi wake kwenye management matokeo yake ni kua na kikosi mediocre tangu 2019 mpaka angalau msimu huu mpya..
Akikaa mwenyewe nyumbani kwake atakua anawaza where he failed badly na hilo litampa somo next job asimame vipi na wachezaji mizigo.

YNWA
 
Guardiola nimemuwekea makasiriko najikuta naumia mwenyewe kila msimu mwamba anachukua ndoo kilaini dakika za majeruh Dah
Sio kilaini kaka nayeye anastruggle guardiola ni kocha mjanja mjanja na muoga ndo maana kaifanya epl ionekane ligi ya wakulima na kufny mageuzi si ajabu akawez kuchukua kombe hata mara6 mfululizo.
Guardiola anajua kunyakua haraka haraka wachezaji wanaoendan na falsafa zake alafu anakuwa anawacoach tu kwa mbinu tofaut tofaut...guardiola ukimpa arsenal ilivo hivi au liverpool ilivo siamin kam atagusa top4 kama mimi nawaheshimu sana klopp na arteta kwa misimu hii mi4 kwa vikosi vyao kushindan na kikosi cha pep sio rahisi
 
Zimejaa kwasababu , mickey mouse ndio level yenu.
Hahaha timu yenu imeanza kua regular wa CL miaka mitano nyuma.

Kabla ya hapo muda tunachukua mickey mouse cups nyinyi mlikua hamjui kama kuna kucheza nje ya uingereza
 
The plan is for Slot to focus on coaching and preparing Liverpoolโ€™s first team while reporting to a sporting director, Richard Hughes, who will oversee recruitment and other aspects of the football department.

Above them both will sit Michael Edwards. [@TimesSport]
 
Hahahaaa Salah anataka Fire
Hawa wachezaji pale wanapoona ni zaidi ya Klopp ni shindaaa kabisa nakumbuka alikuwepo Henderson, Mane, Milner na sasa Salah nae anamea pembe... Ila duh Bobby Firmino hata apewe sub dakika ya 30 utamuona anatoka anatabasamu kwani anajua nafasi amepata na atapata tena..
Kusema ukweli kitendo cha kwamnzisha Salah benchi sikuelewa kwa kua ana rekodi nzuri sana juu yao akiwa amefunga zaidi goli nyingi timu moja ambayo ni Manchester United ya pilk ni Westham... Pale ni his happy hunting ground hivyo aliona kama kaonewa lakin Mwalimu maamuzi yake yaheshimiwa wakati wote mengine yanatupaisha mengine yanatumaliza na hakuna mchezaji aliefiti ambae hajapata nafasi.

YNWA
 
Duh inaonekana Klopp kawavuruga sana huko FSG maana why change the structure kama its was working... Muhimu waheshimiane kila mmoja anapopewa majukumu awe huru bila kuingiliwa na kocha...
Mpango ni kwamba Slot anaajiriwa kama Kocha Mkuu na sio Meneja kama ilivyo kwa Klopp... Hii itampa wakati wa kutosha kudili ni ishu za uwanjani tu mengine wafanye wengine.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ