Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwisa habari yetu! Tumeishia kuongoza ligi muda mrefu na kutoka mikono mitupu! Mchuano tumewaachia Arsenal na Man City! Tukutane msimu ujao👋👋
Kipara anachozizidi timu zote, ni jinsi ya kushinda mechi zake zote au karibu zote za mwisho wa msimu.

Liverpool mmeaga mashindano, ruti ndefu pumzi fupi, hata Arsenal hana chake, Kipara anashinda game zake zote zilizobakia.

Kipara akiendelea kuhudumu Epl kwa miaka mingine 10 ijayo, atafuta rekodi zote za Ferguson.
 
Katika mechi 8 zilizopita tumefunga magoli 12 tu.

Hivyo Pleas Klopp ondoka na Washambuliaji wako wote tutasajili wengine tuanze upya.
 
"what you want me to do ,you disrespect me I disrespect you ,no way" Salah akimchana klop mbele ya camera [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Klopp : "We have four games to go, 12 points to get. If you ask me, I want them all." 🗣️

Jürgen Klopp previews #WHULIV and the remainder of the season: Jürgen Klopp press conference: 'There are 12 points to get and I want them all' - Liverpool FC
Well
20240423_073823.jpg
 
Back
Top Bottom