Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

You know the Michael Edwards era is truly back. Feyenoord wanted €15M he got Arne for €9M plus €2M in add ons. There is very few people like him, his history speaks for itself.
 
IMG-20240427-WA0003.jpg

Ruben Peeters, Feyenoord Head of performance joining LFC with Arne Slot. Important position, hopefully a lot of what kept Feyenoord players available most of the time along with peak fitness while playing similar high energy football can be replicated at LFC.
 
Hawa Cytzens sijui kwanini kesi zao zinakua ngumu hivi? Mbona kesi za Everton na Nottingham maamuzi alikuwa ni ya haraka sana?
Jamaa wana jopo la wanasheria na ukumbuke ni makosa lukuki hivyo sio machache au direct kama ya Everton au Forest.
Muda utasema nink kinafuata. Uefa waliwapiga faini na kuwafungia kushiriki misimu miwili Uefa lakini Citizen wakakataa rufaa na wakashinda zuio la kushiriki wakalipa faini hivyo wamejipanga vyema.

YNWA
 
Take Kubo anafaa kuwa mbadala wa Mo Salah? Ni left foot magician anacheza Real Sociedad
IMG-20240427-WA0037.jpg
 
King Ngwaba Captain Marvelous The MoNA TIMING Ladder 49 na Fans wote wa LFC Kuna swali hapa nimejiuliza hivi ni kwanini Kocha au mchezaji akivuma Sana kuja Liverpool kwenye media huwa hasajiliwi?
Tumeona kwa Kocha Amorim na Wachezaji wengine tu walihusishwa kama Mathis De Ligit, Caicedo na wengineo?
Kuna kale kamsemo hua wanasemaga... Doing things Liverpool way.. Maanake ni kwamba hakuna kutoa taarifa kwa media mpaka pale zina uhakika kwamba ni done deal..
Mara nyingi hizo tetesi unazosoma hua zinapenyezwa makusudi kabisa aidha kutafuta advantage ya bei ama kuweka presha kwa wahusika kwa mfano kuna hili la Westham kua na mazungumzo na Amorim tetesi ni kwamba ilikua mbinu ili kuwa push Liverpool waingie chap kwa mdogo kabla hajatua Westham..
Edwards ni media shy hivyo hua anafanya yake behind the scenes kwa hio umbea wote unaosma kwa media asilimia kubwa hautoki Liverpool mbali ni kwa mawakala husika, waadishi ku beti ni taarifa nk nk.. Chukua mfano usjili wa Fabinho hakuna hata tetesi iliyokuwepo na dogo pap akatua hivyo hao unaosema wakitajwa hawaji jua aidha walikua profiled tukazidiwa bei ama mkataba ukawa na dosari ama ni spinning za FSG kuwafumbuza mashabiki.

YNWA
 
Kwahiyo msimu ujayo nyumbu anaendelea na baba ubaya?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Baba ubaya kashaletewa mdogo wake kwenye Epl halafu wewe unataka aende wapi?
Kuna tetesi zinadai anaondoka, ila mimi binafsi natamani aendelee kubaki, maana kwa upande wangu amenisaidia sana, mpaka sasa hivi nishapunguza kilo 6 tayari, akibaki mpaka msimu ujao nina uhakika wa kukata kilo 10 bila ya kufanya mazoezi yoyote[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Klopp wakati mwingine amejiangusha mwenyewe na upangaji wa kikosi na kuna wakati anafanya sub za panic mode jambo ambalo kwenye mpira halina nafasi kabisaa aisee...

Mzee wetu amepambana uwezo wake na uwezo wa wachezaji wake ndio wameishia hapa walipo... Sina mashaka na uwezo wa Edwards hata akisema anafumua kikosi upya tuanze ruksa uza Salah, VVD, Nunez, Diaz na wengine wala sina hofu nae.

Salah ishu waarabuni haijakaa sawa sana maana wamekua wajaja waarabu wataka kubadili mwelekeo wa usajili hawatak wazee mbali vijana sasa ili kujenga ligi yenye mwedelezo nadhani wamestuka aisee kwamba wazee wanafuata ela pale ili wastaafu unono na sio kingine...

YNWA
Kama game ya everton aliharibu sana kubadili winnin formula

Faza keshachoka
 
Back
Top Bottom