Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Sijui kwa nini namuamini sana Edward sana sana kanishawishi kuziona Talents kwa bei che na ni mtu wa kufanya deals zikamilike mapema”,..

Again yes hiyo balance muhimu DOF & manager. Kwa kumfuatilia Slot after his appointment bado nimebaki 50/50 i cnt say anything… i want to see his preseason kipi atakachofanya, otherwise he is our next coach we will support him if the project will fail then he will be fired.

Ynwa
 
Hili timu lenu kweli limekuwa takataka, yani Lina maliza ligi na tukombe tumoja Tena twa uji 😳😳😳
 
Sisi Chelsea tuliwapa nafasi ya kumtoa city kuifanya ligi iwe kama former ligi lakini mumedhibitisha ninyi ni matakataka hamuna uo uwezo. Sasa tumemupa na arse8 hako ka chance Cha kupruvu kama anaweza mtoa city ..akishindwa basi inabidi turudi sisi wanaume kazini. Maana mara ya mwisho tunabeba ligi ni 2017 na nyie mambanga mukajitahidi na kutupa matumaini ya kupambana na Pep kipara hapo 2019 mukabeba, lakini Sasa mumeonesha Nia ya kushindwa, sisi wanaume musimu ujao tunarudi rasmi kubeba ligi back to back misimu kaa mitatu ivi mfululizo ..si tuko hapa mutaona tu..
#CFC💙💙💙
 

Clear elaboration

If you read very well between the line i noticed you blamed FSG for not funding KLOPP enough.

But mara zote tukiwa runners, ishu yetu ni ile ile kuanzia jan - march (injuries & fatigue) hapa ndipo City always anatuacha, why? Depth inaingia hapa. Ila binafsi namlaumu Klopp kuwang’ang’ania Milner, Hendo, Ox, Keita for long wakati ni inhury prone plus aged players ule msimu wa 2019/2020 pale tulihitaji atleast squad players wawili kwenye MF wenye quality na tuwaondoe Keita na Ox.

Klopp style needs Energetic players, its about SPEED & ENERGY na hili akilikosa baaasi ameangamia mbinu zake ni rahisi kutekeka, so alipaswa kufanya reshuffle atleast after every theee season zaidi pale kweny kiungo, na alikuwa na watu wazuri wa kumletea players wazuri kwa bei nzuri.

Lawama zangu zinaenda kwa

FSG 50% (long term blame)
Klopp 30% (long term blame)
Players 20%.


YNWA.
 
Yeah, he has a future, kama akiamua ku-embrace competition.

But, i think, kati ya players wote kwenye our MF, ni Gravenberch ndiyo atanufaika zaidi na ujio wa Slot.

Hata Quansah anaweza kunufaika. Uwezo wake wa kupanda na kushuka dribbling ability yake. Might be his season to shine”,. Kama Matip angekuwa fit all season angeongezewa mkataba. Injury zake zinamuondoa.
 
Hey Brother MosDef salama? Kimya sana ndugu.
Grand to have you back on board here. Been tough to swallow our season heading south lakini ndio tulipo, we give thanks in everything.

Hii ya huyu bwana Edwards kushiriki huo usajili wa akina Lovren, Markovic nk ni mpya kwangu aisee. Jibu ni moja tu Klopp made Edwards better kutuletea wengine wenye ubora.

YNWA
 
Kashangilie rede mpira huuwezi mama
 
Washkaji, kwa hili kombe moja alobeba Klopp mbele ya kipara, anafaa kujengewa sanamu hapo kwenu!

Kipara ni mtu mbaya sana, mzee ana roho mbaya sana, katili katika hizi game za mwisho, ni zaidi ya Mathias wa kisima cha mamba!!!!
 

Liverpool insist Nike are responsible for the sharp rise in the cost of the new home shirt.

Nike set a non-negotiable manufacturer’s suggested retail price increasing their cost prices by an average of 8.5%.

✍️ @JamesPearceLFC
 
Kwa hiyo hatujadili tena mechi ijayo, mikakati na mambo ya nani aanze, nani awe sub? Ni mwendo wa Edward, sijui transfer policy, mara Kubo...
Hiyo imeshatoka hiyo! Hata tukishinda zote zilizobaki hatupati chochote! Klopp alizingua sana kutangaza kuondoka kungali asubuhi, wachezaji wameamua kumkomoa hakuna kingine!
 
Huyu kama ni kweli asepe tuView attachment 2981465

He will be good. Kati ya wachezaji 30 kwenye ligi tano bora:-

England
Spain
Italy
France
Germany

Nunez ni wa 15 kwenye overall ya G/A, amewashinda wengi ambao wanaonekana ni clinical finisher au ameachwa padogo.

Watkins & Haaland hawa wanaonekana most clinical ila kwa namba wamemwacha Nunez hivi:-

Haaland 6 G/A
Watkins 4 G/A
Hata Salah amemuacha 5 G/A

Kuna wengine wazuri amewaacha Vini, Jude, Bowen, Na wengine.


Bado naamini ana nafasi nzuri”,. Sio kila mchezaji mzuri anaweza ku click mapema wengine huchelewa,.
 
Mchezaji ambaye leo anakupa 3pts halafu baada ya mechi 3 anakunyima 9 points
 
18 goals & 10 assists.

Mo Salah joins Wayne Rooney as the only players in Premier League history with 10+ goals and 10+ assists in five different seasons 🎯

 
Wana Liverpool HALISI ndiyo nimerudi,msife moyo tujipange kwa msimu ujao na kocha wetu mpya.
 
Asanteni nyie kuku kwa kumpiga yule kuku mwenzenu. Naona mmeamua tena kurudi kujiunga nasi katika kupambana na Klopp. Sijui mtakuwa mmechelewa...lakini twendeni tu hivyo hivyo. Lolote laweza kutokea kwenye hii ligi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…