JURGEN NOBERT KLOPP : END OF AN ERA.
Forget about the 90's.
LFC came again to LIFE in 2000's, from Gérard Houllier (R.I.P) to Rafael Benitez, we had up and downs, but overall, the 2000's treated us fairly, i mean CL trophy, and few other Cups, NOT BAD.
It was in 2009/10, when things started to take a bad turn, from the owners, manager, players and the whole club at large, then Benitez left, soon after Hicks & Gillet followed suit, Club ikaishia mikononi mwa FSG (2010), hiki ni kipindi ambacho we had Roy Hodgson as our esteemed manager, ambaye aliondoka LFC, huku akikumbukwa zaidi kwa maneno yake ya kuwa "LFC are not that big to not be in the relegation battle"
Then, akaondolewa, akaja Kenny Dalglish (MBE), ikumbukwe kwamba when Rafa left, fans were demanding ujio wa Dalglish, kabla ya Club ku-opt for Hogdson, but baada ya Hodgson kuondolewa, FSG decided to go for Dalglish, well this was more of a tactical appointment iliyolenga kuiweka/kuirudisha club katika hali ya umoja, i mean, we were going through a very bad patch, so we needed a figure ambayo ilikuwa inakubalika na kupendwa na kila shabiki ili kuweka mambo sawa, au kuirudisha meli katika mstari, besides Dalglish alikuwa mananikio sana at the club, as a player na manager pia, so ilikuwa ni NO BRAINER, na ilikuwa ni cheap/easy option (Well, its FSG).
Well, Dalglish (an easy option), stayed until 2012, but things didnt go well, athough we won Carling Cup (Carabao Cup), but there were no future kwenye his project, this was when we signed a lot of duds (Carroll, Downing, Charlie Adam, Jose Enrique, Alexander Doni, Sebastian Coates & Jordan Henderson), apart from Luis Suarez, ni Henderson tu ambaye alifanikiwa kubakiza walau value yake at the club, (not counting Craig Bellamy).
Dalglish, ended up getting sacked, well sababu zilikuwa nyingi but, signings mbovu alizofanya ndiyo zilikuwa za MSINGI zaidi, and verdict ikawa kuwa his second spell at the club as a manager, was a TOTAL FAILURE.
FSG, decided to turn their eyes and noses kwa a very young coach, who was playing a very, very, very good football at Swansea, Mr. Brendan Rodgers, FSG wanted to start from the scartch, they wanted to build the club kuanzia chini kabisa, hence they wanted a young coach, na kutengeneza structure nzuri ya uongozi, ikihusiana zaidi na mambo ya usajili (TC), ambapo hapa ndipo kina Michael Edwards wakaanza kuonekana, BUT again Rodgers came in, and decided to abandon his philosophies, pressure ya ku-coach team kubwa got to him, Yeah, we challenged and came 2nd once under his watch, but at what cost? HE FAILED at LFC.
Rodgers, left in 2015, after 3 long years at the club, at this point, FSG were failing as owners, ikumbukwe mpaka 2015, walikuwa na miaka mitano at the club, with One Carling Cup & 2nd place finish at their helm. the project was going nowhere, it was kipindi hiki ambapo we werent able to attract World Class talents, and hata WC players tuliokuwa nao walikuwa wana-force kuondoka kila summer/january TWs, kuanzia 2009-2015 we lost Alonso, Mascherano, Torres, Meireles, Sterling, Suarez etc, players kama Torres, Meireles, Sterling tuliwapoteza kwa our close rivals (Chelsea & Man City), and kwa upande wetu we were just going for the left-overs, because hatukuwa na uwezo wa ku-sign world beaters, ukiacha na siginings za Dalglish nilizotaja hapo juu, overall kuanzia 2009-2015 tuli-sign players kama Poulsen, Jovanovic, Konchesky, Joe Cole, then from 2012-2015 we signed the likes of Borini, Balotelli, Lambert, Lallana, Lovren, Aly Cissokho, Joe Allen, Adam Bogdan, Kolo Toure, Ings, Markovic, Mignolet, Assaidi, Aspas, Luis Alberto, Moreno etc, apart from Coutinho, Sturridge, Firmino, Divock, Joe Gomez & Milner, WACHEZAJI WOTE niliowataja hapo juu proved to be FAILURES, na hii ni kwasababu tulikuwa hatuwezi ku-attract WC players & potential talents kwasababu hatukuwa na mvuto/pull ya kuwaleta LFC, ni kipindi hiki ambacho players wengi sana walikuwa wanatukwepa.
Baada yakumfukuza Rodgers, FSG had to make THE RIGHT MOVE, kwasababu kama wangekosea tena, Club ilikuwa inaingia SHIMONI moja kwa moja, na hapa ndipo FSG walipokuwa tipped kujaribu kwa Klopp, ilikuwa ni long strech, maana he had strong Bayern & Utd offers kwenye meza yake, and who wouldve chosen LFC kipindi kile? kwa aina ya wachezaji ipi? tulikuwa hatuna mvuto HATA kidogo, so FSG kujaribu kwa Klopp ilikuwa ni big Pipe-dream, but at the end, it paid off.
JURGEN, came in & changed everything, EVERYTHING.
Creating world beaters on the pitch.
Creating Monsterious financial gains off the pitch.
Creating a very strong fanbase around the globe.
Creating everlasting memories at the Club.
Oh! I will miss him a LOT.
He changed and impacted my LIFE in so many ways, from being a monumental doubter mpaka kuwa a spoiled little brat, BUT he gave me new purposes in LIFE, alinifanye nipende football zaidi, kwake Football is everything, angekuwa na uwezo asingeingiza pesa kwenye football, he admired loyalty over everything. I will mis HIM.
What can i say?
1. Breathing a new life & purpose kwa Roberto Firmino
2. Giving and provide Henderson with a very stable career & purpose.
3. Creating monsters and world beaters kwa our african brothers, Mane & Salah.
4. Giving us a World Class DM, after what 8-9 years?
5. Giving us a World class academy player (Trent), after what? 20+ years?
6. Giving us a World class GK, after what? 10-12 years?
7. Giving us a world class Centre Back, after what, man, after what? 15 years?
Now, we can sit, and talk all day, but we need to ask ourselves, after blunders za 2009-2015, tungekuwa na uwezo wa ku-sign players calbre ya Mane, Salah, VVD, Alisson, Fabinho ambao walitupa kila kitu at the club? then Konate, Diaz, Nunez etc? maana hata Gakpo alikuwa amebakiza asilimia chache kwenda UTD, and we managed to snatch him under their noses, kama ilivyokuwa kwa Nunez & Mane, but nyuma kidogo, unakumbuka ni wachezaji wangapi tumepoteza kwa Utd? not because of wages, not because of the price, but kwasababu hawakuona mvuto wa kuja LFC? we were getting rejected for clubs like Spurs, remember the Willian & especially Sigurdsson sagas? achana na players waliotukimbia for Chelsea, but how many players tulipoteza kwa Chelsea? remember kuhusu Mo Salah? we lost him to Chelsea for nothing, and his price tag was just £9-11m, and achana na Suarez kujaribu ku-force a move to Arsenal, but how many players tulipoteza kwa Arsenal? unakumbuka nini kuhusu Alexis Sanchez, kugoma kupokea simu za Rodgers? au unakumbuka nini kwa Toni Kroos? Club kumuomba Gerrard ampigie simu kumshawishi ajiunge na LFC?
But, when Klopp came in, Mane rejected LVG & Utd for LFC.
Alisson rejected Barca, Madrid & Juve approaches for LFC.
VVD rejected MAN CITY & Chelsea approaches for LFC, Man City tried the hardest, walikuwa ni wao walio-leak zile habari za Klopp kukutana na VVD at Blackpool.
Fabinho turned down Utd for LFC.
Naby Keita, REJECTED Barcelona & Bayern approaches for LFC.
What about Konate & PSG? what about Szobo and Newcastle & Man City camp telling him to wait a little? what about Nunez & United/Chelsea? What about Diaz & Barcelona? what about Gakpo & Ten Hag/Utd? what about Alexis & City/Utd?
Before Klopp, tungekuwa able ku-convince hao players kuja LFC over hao powerhouses wengine?
What changed at the CLUB? ni KLOPP, its just simple.
He gave this club (a dying club) a new face, a new beginning, new hope and fresh dreams, new memories.
Again, what can i say?
From that game against Norwich at Carrow Road on 23/01/2016.
From that game against Dortmund at Anfield, on 14/4/2016
From that game against Barcelona at Anfield on 7/05/2019
OR, what about that game against Spurs in Madrid? what a NIGHT, after what? 14 years of waiting?
OR, the day you broke our Curse? giving us our first PL title, after what? 30+ whole years? nani angefanya mwingine? Graeme Sousness failed, Roy Evans failed, Gerrard Houllier failed, Rafa Benitez failed, Dalglish (2nd spell) failed, Rodgers FAILED, but it was you JURGEN, you gave and handed that DREAM, many of us (me, personally), sikuwahi kupata bahati ya kushuhudia my club iki-lift PL title, but you gave me that NAFASI, it was you JURGEN, it was just you JURGEN, na kwangu itabakia kuwa your biggest achievement at the Club.
What more can i say about you Jurgen? wanasema your time at LFC may be classified as a failure because umebeba 1 PL in 9 years, well i always laugh about that, because as a manager you've won EVERY SINGLE TROPHY kwenye ngazi ya Club isipokuwa Europa? man, who gives a
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala about Europa? competition ya Failures? yeah, who cares.
But what? Premiel League?, Champions League? FA Cup? Carabao? UEFA Super Cup? FIFA Club World Cup? yeah nahitaji nini zaidi kutoka kwako Jurgen? nakudai kipi Jurgen? nitakuwa greedy nikikuomba uendelee kubaki LFC? yeah, naumia sana kuwa unaondoka, but wanasema
a good dancer must know when to leave the stage but umefika huko Jurgen? you're still 56, thats still a very young age for a coach Jurgen, bado mpira unakudai sana, najiuliza kama tungekuwa na different owners ungeendelea kuwepo? au makelele ya FSG kwa wewe ku-sunction deal ya Gravenberch, yalikuumiza sana? ni nini Jurgen? kwasababu FSG gave you just £16m for a DM? or ni kwasababu you felt betrayed kwenye deals za Caicedo & Lavia baada ya kujua ukweli? or the fact kuwa FSG lied to you kuhusiana na Jude? but ni mara ya kwanza wamekudangaya kuhusu big signings? why umeamua kuacha now? au unaogopa mbuzi kukufia mkononi? why uogope? ulisema utakuwa nasi kwaajili ya LFC 2.0, why imekuwa ghafla?
But, natakiwa kuyaheshimu maamuzi yako?, absolutely, nayaheshimu, you're a human-being after all, kuna kipindi maisha mengine lazima yaendelee, BUT umeniheshimisha sana Jurgen, growing up, sikuwa hata na uwezo wa kuingilia debates za mpira at school or mtaani kwasababu i was supporting LFC, it was hard, it was hard watching Utd winning trophies evert season, nilikuwa na uwezo wa ku-brag kuhusu Premier league title? NO, but you made it possible. i cried like a little baby when Torres left the Club, but chini ya uongozi wako, nilikuwa na wasiwasi kuhusu Salah/Mane/Firmino/VVD/Fabinho/Alisson/Trent/Robertson/Gini etc kuondoka at their prime years? HELL NO!!, because you made us WORLD BEATERS.
JURGEN, you changed this club a lot, i'm so worried about the future of this club now, i was so spoilt na nikasahau kabisa kuwa hii siku itakuja, i thought your love for this club itakufanya ukae miaka na miaka at the Club, but maybe unajijua wewe zaidi kuliko mimi ninavyokujua, na maybe deep down umeona ni muda muafaka wa wewe kuondoka LFC.
I will miss you JURGEN.
You've spoiled me so much, nikasahau kabisa, hardships tulizopitia as a club, ndiyo maana sometimes tukifungwa nikawa na-shout kabisa
KLOPP OUT but now you're really leaving JURGEN, and i feel so EMPTY, so EMPTY.
I will miss you.
Its an end of an ERA, era iliyokuwa na ups & downs, era iliyokuwa na a LOT of mixed emotions & memories, ERA ambayo ili-define the modern LFC, era ambayo ilitoa/kuleta new purpose & new direction kwa Club, era ambayo imeirudisha club at the BIG TABLE, yeah, what an ERA, what an FUCKING ERA.
All these years, ulikuwa ukipigana na MDUDU mkubwa sana, ambaye alikuwa akiongozwa na one of the most greatest and decorated managers of our time (Josep Guardiola), ulikuwa uki-fight na mdudu ambaye anaweza ku-bench £80-100m players for fun, but you managed to win at some point, hahaha! you're just special, so fucking Special.
Jurgen, kwangu mimi, YOU'RE THE GREATEST LIVERPOOL FOOTBALL CLUB MANAGER OF ALL TIME. and nothing, i mean NOTHING can ever change that.
I will miss you, Jurgen.
Farewell Jurgen, Farewell my Manager.