Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nyie mabroo mmetuangusha aisee.
Pamoja na nyie kutuachia msala wa kupambana na kipara wenyewe, mlipaswa angalau mumpige huyo Villa ili iwape Spurs angalau ki false hope cha kupambana na kumpiga Kipara leo.

Sasa Spurs ataona hana chake, ataacha apigwe tu kama Fulham.
 
Miaka Tisa epielo moja huyu Killopu ni tapeli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Miaka Tisa epielo moja huyu Killopu ni tapeli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Miaka Tisa epielo moja huyu Killopu ni tapeli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Miaka Tisa epielo moja huyu Killopu ni tapeli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Killopu kawadanganya mamilion ya mashabiki ya livakuku pote duniani kwamba anajenga timu Bora miaka Tisa Sasa epielo mojaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tena ile epielo ulibeba wakati wachezaji wa timu zingine walikuwa na corona🀣🀣🀣🀣
 
Salah ni muchezaji Bora wa Dunia akiwa na epielo mojaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…