Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tukutane msimu ujao taito konitenda
IMG_20240127_111635.jpg
 
Nyie mabroo mmetuangusha aisee.
Pamoja na nyie kutuachia msala wa kupambana na kipara wenyewe, mlipaswa angalau mumpige huyo Villa ili iwape Spurs angalau ki false hope cha kupambana na kumpiga Kipara leo.

Sasa Spurs ataona hana chake, ataacha apigwe tu kama Fulham.
 
Killopu kawadanganya mamilion ya mashabiki ya livakuku pote duniani kwamba anajenga timu Bora miaka Tisa Sasa epielo moja😂😂😂😂😂
 
Tena ile epielo ulibeba wakati wachezaji wa timu zingine walikuwa na corona🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom