Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Huo ni muundo sahihi lakini je hela ipo? Au ndiyo yaleyale tu sell to buy.
 

Hizi charges zitachukua miaka mingi mbele kufanyiwa kazi.

Sio rahisi kihivyo”,. Na watasajili na kuuza vizuri tu na matumizi ya pesa yatafichwa mpaka siku hizo waliopo sasa hawatakuwepo.

Reference Uefa & FIFA Saga”,.
 
Nimewauliza Wajuzi hapo
The MoNA vipi kuhusu hiyo taarifa hapo juu?

Mkuu ogopa sana kinachoitwa pesa. Mbappe siku nyingi sana angekuwa Madrid ila Pesa mwanaharamu. Mpira una milungula ya maana mf mzuri angalia maamuzi ya VAR toka ije nani imembeba zaidi?

Kuna taarifa niliisoma kuhusu Pep kukwepesha wachezaji wake kupimwa vipimo vya mkojo kama kuna namna namna. Hii toka akiwa Barca ndio maana ni ngumu jamaa kupata injuries za muda mrefu hasa hasa 2nd round of the league. Kuna daktari wake kutoka Hispania humtumia sana”,. Ngoja nitaitafuta hii taarifa niitume hapa”,.
 
YOU REBUILT OUR CLUB, YOU WON IT ALL.

THANK YOU FOR EVERYTHING KLOPP [emoji173][emoji173].View attachment 2994764
Ukweli ni kwamba uchezaji (Playing pattern) wa Klopp unaburudisha sana kwa wale wanaojua mpira kuliko hata uchezaji wa PEP
Ni bahati mbaya tu Klopp ameshindwa kudominate EPL tangu aje 2015. Na bahati mbaya zaidi mpira ni magoli na point 3 ndizo zinazoleta ubingwa na kudominate ligi
 
Ishu hapa ni kwamba kwa wingi wa tuhuma na utetezi wa Manchester City inaweza kuchukua hata miaka mitatu ama zaidi haya mambo kupata hukumu.

Cha msingi hapa bwana Slot apewe sapoti sokoni tupate kikosi cha kupambana Uefa na EPL msimu ujao

YNWA
 
Bye Bye Bye Klopp kwa kutupa burudani kabambe sana kwa hio almost miaka 9 klabuni. Anaodoka kwa heshima zote anazostahili kwani ameturudisha kileleni mwa ubora na sasa bwana Slot anaridhii timu yenye kiu na wachezaji wenye mentality ya kupambana, kocha mpya kwa kweli anahitaji kuongeza wachezaji wachache tu na kupata timu ya amsha...

YNWA
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
MosDef
Tusaidie hapa Mkuu

Binafsi namuamini Edward katika biashara na jicho la kuviona vipaji vikiwa mchangani”,. Jamaa anafit sana kwenye Policy ya FSG.


Nafikiri Klopp alichokosea sana na kukumbatia wachezaji wasio na msaada kwake. Maamuzi aliyoyachukua summer iliyopita alipaswa kuyachukua 2019 kwa kuleta fresh legs. Yes FSG hawakupi pesa ndefu ila kuna wachezaji wazuri wa £25m-£35m ambayo ni bei nzuri FSG wanakupa hiyo pesa.

Pep anweza kwa sababu if you dont deliver then bye bye is a good path. Klopp alikumbatia sana mediocre (Milner, Thiago, Ox, Keita) hawa ni injury prone na hawakuwa na msaada wa moja kwa moja na timu. Kuna Henderson hakuwa na quality hiyo ya kuobeba timu. Hawa alipaswa kuwaachia mapema na kuchukua damu changa wampigie kazi. Ikumbukwe Klopp ni mpenzi wa SPEED & ENERGETIC game.

Hivyo ishu ipo kwa Slot pia ataweza kuunganisha damu changa na kongwe na kudeliver?? Kusajili tu haitoshi. Naamini Slot anaweza kufanya vizuri zaidi ndani ya uwanja pia.

YNWA
 

Lets hope for the best”,. Kocha mpya always ni 50/50 especially asiye na CV kubwa kama Slot ambaye ndio anaanza kuiandika.
 
Itakuwa vyema sana Mkuu ukiipata na uka share nasi hapa
 
David Beckham: “Even as a Man United fan I love Jurgen. I love his character, his personality, and what he brings to the sport.

“I am going to get killed by some of my Man United mates, I am sad to see him leave. What he’s done for the club and the sport has been incredible.” [@SmartLess]
 
A year ago, Jarell Quansah was playing on loan for Bristol Rovers in the English third division. In the summer, the player participates in pre-season training, where he impresses Jurgen Klopp. A year later, with a solid number of matches played, goals and a League Cup won, he received his first call-up to the senior England national team, and immediately to Euro 2024. A story that truly deserves praise!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…