Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Imagin
Just imagine tupo different point 1 with Gunners alafu hiyo May 10 tunawashana Anfield
What a much will be?

View attachment 3024843
9 Goals in his last 6 games for Uruguay. 🇺🇾
Technical staff has a huge influence, see Foden, KDB, NT they are quite different wakiwa City. Let's hope for Slot to use them effectively, see Gakpo? Same case
 
Brothers Captain Marvelous, @TheMoNA, MosDef no any gossips about signing?
Kwa sasa kelele ni nyingi sana sokoni, last week and this kulikuwa na mazungumzo kumchukua Gordon wa Newcastle lakini deal Lika slow Kwa sababu walihitaji deal kuhusishwa Quansah. Binafsi nilifurahi kwani ni mmoja wa watu nilimuelewa sanaa Quansah. Kwa sasa ukiwa beki unaweza kucheza nafasi mbili vizuri RB & RCB au LB & LCB, Quansah anaweza kumudu vizuri RB & RCB. Hii ndio deal ilikuwa linaendelea. Nafikiri Gordon anaweza kucheza RW&LW,..

Binafsi sitarajii usajili mkubwa sana , sana sana ni DM, LCB & RW. Kilichopo mezani kikubwa ni data zinatazamwa Kwa waliopo na mahitaji ya Slot na jopo lake, bajeti ya timu, mikataba ya waliopo na Mambo kama haya ndio yapo Kwa sasa.

Slot aliulizwa kuhusu kutumia vijana kama alivyofanya JK last season, alisema napenda vipaji", kama wataweza watapata game time.
Kama tungekuwa na Klopp ingekuwa rahisi zaidi kwani ungeona ni DM & CB tu wangesajiliwa, Kwa Slot Mambo Ni kama haya.

Kuna vijana wameachiwa huko academy sasa tusubiri Kwa wakubwa baada ya Euro na Copa America kumalizika.

Ila wafuatao huenda wakauzwa:
Tsimikas
Kelleher
Morton (doubt)
Carvalho (doubt)
Ngoja tuendele kusubiria vihabari na habari
YNWA
 
Pol
Polish Messi sijui kimemkuta Nini Kwa kweli, kama ghafla hivi kuondoka.
 
duh .........hili gazeti hadi linachosha kulisoma
 
Wadau wa Special thread ya Liverpool Football Club
TIMING , Baba Swalehe @TheMoNA Captain Marvelous na wadau wengine huo ni mjadala kuelekea msimu ujao. Huyu Arne Slot atalikabili vipi suala la majeruhi ya mara kwa mara?
Injury zinategemea na Mambo kadhaa. Kuna ambao wanashida za kimwili tu kama Matip, Thiago na wengine.
Niende Moja Kwa Moja kwenye mjadala ambao nitaenda Moja Kwa Moja Kwa Nini majeruhi wengi Kwa Klopp. Kuna players hawakuwa free enough kucheza uwezo wao ulivyo walihitaji zaidi ya hapo. Kwa mf waliocheza upande wa Trent last season karibu wote walionja injury Kwa nyakati tofauti. Trent mwenyewe, Konate, Szobo, Jones, na wengine. Nafikiri Klopp alitumia more physical exercise na energy ya kutosha ili kumaliza msimu na makombe but was a poor approach, we over played some players wengine walicheza na maumivu mwilini.

Kwa Slot inabidi atumie double pivot at the middle of the park, uzuri anapenda possession football attractive playing style, kidogo unaweza kupunguza mbio mbio, Bahati mbaya Slot hapishani sana na Klopp's approach kama high line,

Solution;
Kuajiri jopo la madaktari
Tuwaondoe injury prones wote na kutafuta watu haswa,

YNWA
 
Sahihi sana kop
 
Kwa Mimi Yes inaweza ikawa tiba.
But hii pressing issue, inabidi uwe na best 22 utafute balance ambao hata ukimkosa Macca akicheza Szobo hauoni utofauti, akikosekana VVD acheze Quansah usione utofauti mkubwa",.. that's how you deal with injuries hasa hizi zinaletwa na fatigue",
 
Vijana wanataka kutapika,inaonekana huyu Slot ana vijinasaba na Klopp huyu,sio kwa mazoezi haya.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Siku ya kwanza tu,vijana wanaonekana namna hii
View attachment 3034553
🤣🤣🤣🤣🤣Slot awe na subira aisee moja ya sababu zilizotolewa na baadhi ya wachezaji Manchester United kua na msimu mbaya ni hii vigorous work out ya ETG, hivyo Slot mapema sana awe na subira sio "kuwakimbiza" kiasi msimu unaanza wako exhausted balaa.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…