Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Yeah ni kweliHata nembo ya Club
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah ni kweliHata nembo ya Club
Naona majirani zetu Everton wanajenga bonge la uwanja la kisasa sijui sisi tunafeli wapi aiseeHata nembo ya Club
Klopp hua ana namna anataka wacheze lakin timu zao za Taifa ni free to roam noma sana....Kuna hawa wachezaji wakikutana watagombana sana Diaz wa colombia na Diaz wa liverpool,Nunez wa Uruguay na Nunez wa Liverpool,Gapko wa Netherlands na Gapko wa Liverpool .
Huyu dogo tangu aumie ni kama alijipiga loki aisee.
Namtakia mema anakokwenda.
YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Slot awe na subira aisee moja ya sababu zilizotolewa na baadhi ya wachezaji Manchester United kua na msimu mbaya ni hii vigorous work out ya ETG, hivyo Slot mapema sana awe na subira sio "kuwakimbiza" kiasi msimu unaanza wako exhausted balaa.
YNWA
Kuna hawa wachezaji wakikutana watagombana sana Diaz wa colombia na Diaz wa liverpool,Nunez wa Uruguay na Nunez wa Liverpool,Gapko wa Netherlands na Gapko wa Liverpool .
Klopp alitukosea sana kwa Gakpo
Klopp hua ana namna anataka wacheze lakin timu zao za Taifa ni free to roam noma sana....
YNWA
Japo Klopp hua namwelewa wakati mwingine kwa kukosa DM wa maana mkata umeme kama Rodri anashindwa kuwapa wachezaji wake uhuru wa kutosha. Slot mapema apate DM mambo yapoe.Naam nakumbuka kipindi cha Gini pia
Cody Gakpo has admitted that Jurgen Klopp did not play him in his preferred position at Liverpool.Klopp alitukosea sana kwa Gakpo
Japo Klopp hua namwelewa wakati mwingine kwa kukosa DM wa maana mkata umeme kama Rodri anashindwa kuwapa wachezaji wake uhuru wa kutosha. Slot mapema apate DM mambo yapoe.
YNWA
Bila DM sijui itakuwaje kwa kweli ila naona kama Bajcetic huenda akatumika sana akiwa injury free + Endo.Japo Klopp hua namwelewa wakati mwingine kwa kukosa DM wa maana mkata umeme kama Rodri anashindwa kuwapa wachezaji wake uhuru wa kutosha. Slot mapema apate DM mambo yapoe.
YNWA