Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pale Barca kuna De Jong na wanataka wamuuze kwa sababu ya mshahaara mkubwa

Liverpool yangu huwa inaniumiza sana kwa hilo la kubania hela, peleka hela pale Barca, una kocha wa kiholanzi na wachezaji wa kiholanzi wamejazana tumia hiyo kama fursa ya ushawishi?
 
Pale epl hamna timu yenye wamiliki wabahili kama liverpool
 
Hakuna kitu pale

Bora hatq Henderson

De jong?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Waliweka sell on clause ama?
Aliwakatalia Arsenal na Man U, Liverpool walipoonekana kumhitaji, Sociedad wakaweka ka ugumu kwa Zubi wakamfunga atoe pesa ya kutrigger his buy out clause ambayo ni 51m. Hii pesa anatoa na atarejeshewa na timu. Sasa hii buy out clause maana yake mchezaji ndio umeamua kuachana na klabu kiasi cha kujilipia pesa ya uhamisho hii inapelekea kuchukiwa na klabu husika kwamba sisi Club tulimuhitaji ila yeye ametukataa. Liverpool wapo tayari ku trigger release clause ila ishu imebaki kwa Zubi kujivunjisha yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ