Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu mzee wamiliki na mashabiki wakiwa serous sana hafiki Disemba, kama Klop alimamiza msimu kwa kikosi tiamaji tiamaji...Sasa yeye anarithi kikosi na hataki kukifanyia maboresho..anangoja hadi mwakani aanze na kikosi chote cha kwanza baada ya kila nafasi kuhitaji kiraka.
Mwaka huu mashabiki uvumilvu itawashunda.
 
Mwazimeni tajiri wa Chelsea kwa muda awatolee mpunga make wataalam wenu wana macho ya kuona wachezaji...tajiri wenu anaishi maisha ya kimasikini sana kwenye kuleta burudani.
Tangu tuchukue Uefa na EPL na ma Yank wetu wakashadhani Klopp pekee anatosha kuamsha aluta continua kwenye kuchukua ma kombe ndio nilijua tuna ma bosi wasioelewa namna ya kukubatia fursa pindi inavyojitokeza aisee...

Tangu kusajili Fabihno pale kati palipuuzwa na mwishowe dogo akaona asiwe ishu akapesa Uarabuni kula maisha..

Hua ni ngumu kuelewa mfumo wa FSG pindi tuna Fabyy kwenye peak akiwa na Gini hakukua na MF design ya Alex na Dommy na sasa tuna AM hao wawili attacking wanahitaji msaada DM maana sio mahala pao kucheza lakin kama kawaida ni mpaka FSG wajizungusheee mpaka basi ndio utaona usajili... Watue kwa Ederson wa Atalanta anatosha mbona.

Chelsea ishu kuu ni kuunganisha hao wachezaji walete end product moja yaani na mlivyo kua hamna subira sijui kama huyu ata survive. Soon mtarejea kwa Mourhno 😂😂

YNWA
 
Kazi ipo kikosi gani anasema kwamba kipo imara ni ngumu sana kukiboresha... Kitendo tulimaliza ligi nafasi ya 3 ni ishara tosha kwamba tuna hali mbaya..
Alisema Shankly wa kwanza ni wa kwanza tu na ndio bingwa hao wengine ni wasidikizaji tu.

Slot ana mkopi Klopp atapoteana aisee yaani nwa dirisha lipo wazi ngoja tuwe na subira tumeipanda wenyewe.

YNWA
 
hamna kocha hapa labda labda labda lakini hamna kitu hapa
 
Klopp angekuwa ndio kocha wala jamaa asingewaza mara mbili, ila akiwaza CV ya kocha aliyepo anaona bora asikilizie kwanza

Kocha aliyepo hata Salah na Diaz sina hakika kama wana imani nae

Mkuu sikutamani sana kujibu mijadala yako ila kwa hili ngoja nikujibu hivi;

Liverpool Rejection under Klopp kwa kigezo cha CV

Jude Belligham. (Summer 2023)
Mason Mount. (Summer 2023)
Moises Caicedo. (Summer 2023)
Romeo Lavia. (Summer 2023)
Kylian Mbappe. (Summer 2022)
Cristian Pulisic. (Summer 2016

Hao ni ambao najua unawajua waliokataa LFC huku kocha akiwa Klopp mwenye makombe yote tayari kwenye CV yake, mwenye awards binafsi zaidi ya 8, ukimtoa Pulisic ambaye ni wa kitambo kidogo.

YNWA
 
Slot is a very good technical coach very tactical one.

He have my faith (80%).!!! He will still make us up there. Wengi wanaona ni mwisho wa Liverpool baada ya Klopp but but but, hey kops stay tune good things are ahead.

Uzuri wa mashabiki ni kama kinyonga, they will U-Turn, wataanza ngojera na mapambio Slotball to the sky, huyu ndiye tulikuwa tunamsubiri sasa.


Najuwa badly need to sign top no. 6 over any position, but what if his tactical will solve the problem???

Up Reds
YNWA
 

Pia ninaimani tele na slot asee
Atatupa plan b katika game tuliyokuwa tunaikosa kwa klop

Klop ilikuwa ukiwakaba trent na robo tu,basi umemuweza

Na pia akicheza na team zinazopaki basi

Game vs brenford kila msimu walikuwa wanatumia style moja kutufunga

Slot anaongeza kitu katika uchezaji,maana hatofautiani sana na aina ya mpira wa klop hasa ile intensity football

Slot kuna muda anapenda team ikae na mpira zaidi,possesion football

Even katika kukaba,rest defence yake wakati anashambulia inakuwa ipo vzuri sana na ivyo kupunguza threat ya counter attack

Ni muda tu utakao amua japo ameonyesha aina ya soka analotaka kucheza katika mechi kadhaa za pre season,so ni wachezaji kuzizoea mbinu zake
 
Jugen tulimpenda, ila sio team manager tena. Mtoen kwenye profile ya team.
 

Good analysis.

I think Klopp style ilihitaji fresh legs all season with energetic and athletes players kwa sababu soka lake lilikua attack attack attack all the time. Hakuwa na plan B ikiwa plan A ikikamatwa. Season mbili za mwisho walimuweza zaidi kwani ilikuwa rahisi muachie Klopp mpira aangaike nao kwa sababu hana mafundi wa kubomoa lines za opponents hawatakuwa threats kwake, we were struggling sana. Ikaja idea ya kumtanua Salah acheze much wide ikafeli, the problem wasnt a system ilikuwa players wamechoka no Energy tena hasa viungo, thats why last season was better kwani alipata fresh legs kwenye MF japo haikuwa enough kufika apatakapo.

Mfumo wa Klopp ukipata monsters watatu katikati its done, its over.
Gini-Fabinho-Hendo wavunja kuni watupo ni mikimbio asubuhi hadi jioni, baadae anaingizwa Milner ni kuvuruga kati.

Lets Jurgen be Jurgen.

Nafurahia unyumbulifu wa Slot kwani anajua wakati gani afanye nini. Napenda double pivot hii inatunza energy ya wachezaji. Napenda possession football

Bila kujali output yake, atleast nafurahia kuangalia mpira wa Slot. Binafsi mie ni abiria kwenye gari lake with 80% faith on him.

Slotball to the Sky
Up reds
YNWA
 
It’s too early
 
Mshaanza kulalamika hata ligi haijaanza.
Tunajua vyema ni wapi penye udhaifu kutukosesha ubingwa msimu uliopita. Arsenal walikua na ukuta bora kwenye ligi lakin bado wamesajili beki kuimarisha pale nyuma na wapo mbioni kuongeza tena MF maanake no kwamba mapungufu yao wanaimarisha.
Liverpool tunasema DM ni kikwazo hama hatununui, waliopo kama watabaki bado ni amateurs kwenye ligi ngumu, tunao Morton na Bajetic tu ambao by tradition ni DDM au HM huyu mmoja Bajetic msimu uliopita ameumwo mno hivyo sio tegemezi mpaka aongeze bidii na kujilinda asiumie tena.

Tunahitaji DM mmoja, beki RB mmoja, na winga mmoja upande wa kulia.

YNWA
 
EPL ambayo makocha wanajifungia ndani na kukusoma hizo tactical zake haziwezi kuzidi mechi 10 kabla hawajaanza kukutoboa

Muhimu ni kutafuta DM wa maana waache ngonjera
 
somebody MosDef sijamwona humu siku nyingi kweli,
toka Slot ateuliwe kuwa kocha mkuu sijaona comment yake!
 
Newcastle United, Aston Villa, Fulham, Chelsea and clubs abroad have all shown interest in Joe Gomez.

Bayern Munich could also be alerted.

[@_pauljoyce]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…