Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kabla ya Ligi kuanza tunaoijua Liverpool zaidi ya miaka 25 iliyopita tulilalamikia usajili tukashauriwa tuwe wastahimilivu usajili uliobora utafanyika.

Haya Ligi imeanza vipi tuendelee kuwa wastahimilivu au sio?

Regardless of kuifuatilia Liverpool all those year. Umewahi kujiuliza vipi mbinu zinaweza kusolve mapungufu ya timu??

Kwa sababu not only usajili unaweza kusolve changamoto. Last season niliamini tulihitaji Klopp’s tactical most ila haikwenda ipasavyo.

By the way lets say what they will give us within next two week.
 
Very poor show

Poor show of course especially first half 2nd tukaja tofauti na tumewin convincingly why?? Hatujategemea makosa ya timu kushinda mechi we created chances na tukazitumia ipasavyo.

When was our last time kutengeneza magoli mazuri ndani ya box?? Utulivu wa Salah first goli utulivu wa Szobo 2nd goal.

Let appreciate changes anazoleta Slot mdogo mdogo bila kujali tumeshinda vipi.

YNWA
 
Binafsi Arne namuona anamoralina hii timu, kama madogo watafuata maelekezo basi tutaenjoy bolu maana kuna muda naona wanajaribu kuchanganya bolu la utik taka ila bado hawajawa na speed nzuri,, tuwe wapole.

This dude will come good matter of time, did you watch Graven as 6?? Yes Ipswich inaweza isiwe kipimo kizuri ila jamaa ni holding mzuri sana. Umeyaona magoli tulivyoyatengeneza yanashawishi sana kuona namna tunavyotulia na kutuliza timu.


Changamoto yetu ipo upande wa Robbo na Trent. Sio Trent akitulia defensively so ni vyema atafuta namna ajinufaishe na strength yake aliyonayo (killer passes, free kicks, long shots). Again we need LCB ambaye anaweza kucheza LB vizuri sana. We need DM & lastly we need
Nunez
Gakpo
Diaz to step up.

YNWA.
 
Kupata DM Kwa SASA sidhani, first round nadhani atalazimiana na hao hao waliopo(Endo na Grave) though Grave nahisi kama hiki sio kipimo chake kikubwa bado nasubiri aniprove wrong.
TAA mzuri ila upande wake unavuja Sana may be RCB aimarishwe kuziba mianya yake mida mingi.
 

Yeah Graven bado hatuwezi kusema tayari ila he promising so far.

Kitu ambacho kinamshinda Endo under Slot system ni uwezo wake mdogo wa kucheza na nafasi. Ndio mana mie huwa naamini kuna wachezaji uwaweke kwenye mfumo wowote ule wanaucheza na kuna wachezaji wanaathiriwa na mfumo. Mf ni Endo. Endo ana struggle kucheza kwenye tight spaces, yaani unakuta kushoto kuna opponents kulia na nyuma yupo/ unakuta in between ule uwezo wa kucheza sec kadhaa na mpira kuwatoroka wapinzani na kutoa pass stahili kwa Endo inakuwa mtihani. Nafikiri kama Slot angekuja na kumkuta Hendo angekuwa na wakati mgumu sana kwa mtoto yule wa kiingereza.

But Graven yes he is not good defensively but when its comes kucheza katikati ya wapinzani ni mzuri sana, na ndicho anachokitaka kocha, upo kwenye pressure tuliza mwili akili na mpira wenyewe angalia wapi unaweza kuupeleka ukawa salama. Graven as a holding ni mzuri i wish angepata combo ya natural DM a monster one like prime Fabinho.

Kitu kizuri Szobo na Macca wanacheza juu zaidi which is good hao jamaa offensively ni hatari sana.

Trent kumzibia madhaifu yake maana yake una sacrifice energy ya players wengi. RCB akienda kumcover trent maana yake LCB itabidi ashuke kucover kwa RCB je kwa LCB ata cover nani,? Itabidi no. 6 ashuke chini, maana yake timu nzima itajikuta inavutika vutika defensively na baada ya kuporwa mpira mkiwa mnashambulia. Au Atumike RCM wakati Trent anaenda kushambulia je huyu RCM kazi yake sio kushambulia pia?? Ni risk sana.

Ila best option na ilifanya kazi vzuri ni kumpata DM katili mwenye mapafu yake kufanya hiyo kazi inakuwa rahisi kwake tofauti na ikifanywa na ama RCB au RCM au wote kwa pamoja kutegemea na mpira ulipo.
 
Pivot ya grave-bitch hapana, His speculative passes are not helping…

Our spine Iko in disarray

Slobodan milosevic naye kawa diva, na Yule Lucho kawa kama Pinocchio tu

Na first half - ref alikua kabet

Nalaaabukkk
 
It’s like we need 6 players

We were very poor
 
Pivot ya grave-bitch hapana, His speculative oases but spine Iko in disarray

Slobodan milosevic naye kawa diva, na Yule lucho kawa kama Pinocchio tu

Na first half ref alikua kabet

Nalaaabukkk
mwishoni umemaanisha nini mkuu😂😂
 
Hivi Liverpool tunawania nini msimu huu?
 
Aya ya mwisho ndio kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…