Yeah Graven bado hatuwezi kusema tayari ila he promising so far.
Kitu ambacho kinamshinda Endo under Slot system ni uwezo wake mdogo wa kucheza na nafasi. Ndio mana mie huwa naamini kuna wachezaji uwaweke kwenye mfumo wowote ule wanaucheza na kuna wachezaji wanaathiriwa na mfumo. Mf ni Endo. Endo ana struggle kucheza kwenye tight spaces, yaani unakuta kushoto kuna opponents kulia na nyuma yupo/ unakuta in between ule uwezo wa kucheza sec kadhaa na mpira kuwatoroka wapinzani na kutoa pass stahili kwa Endo inakuwa mtihani. Nafikiri kama Slot angekuja na kumkuta Hendo angekuwa na wakati mgumu sana kwa mtoto yule wa kiingereza.
But Graven yes he is not good defensively but when its comes kucheza katikati ya wapinzani ni mzuri sana, na ndicho anachokitaka kocha, upo kwenye pressure tuliza mwili akili na mpira wenyewe angalia wapi unaweza kuupeleka ukawa salama. Graven as a holding ni mzuri i wish angepata combo ya natural DM a monster one like prime Fabinho.
Kitu kizuri Szobo na Macca wanacheza juu zaidi which is good hao jamaa offensively ni hatari sana.
Trent kumzibia madhaifu yake maana yake una sacrifice energy ya players wengi. RCB akienda kumcover trent maana yake LCB itabidi ashuke kucover kwa RCB je kwa LCB ata cover nani,? Itabidi no. 6 ashuke chini, maana yake timu nzima itajikuta inavutika vutika defensively na baada ya kuporwa mpira mkiwa mnashambulia. Au Atumike RCM wakati Trent anaenda kushambulia je huyu RCM kazi yake sio kushambulia pia?? Ni risk sana.
Ila best option na ilifanya kazi vzuri ni kumpata DM katili mwenye mapafu yake kufanya hiyo kazi inakuwa rahisi kwake tofauti na ikifanywa na ama RCB au RCM au wote kwa pamoja kutegemea na mpira ulipo.