Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mate kindly review again hii mechi utaona kabisa aganist a more lethal team kama Arsenal hii gemu tungefungwo...
Cheki tukipata kona na tukapokonywa mpira how they broke us down yaani ilikua so easy kwa sababu hatuna DM au HM mwenye namba yake.. Kazi kuu ya DM hua nikusoma hatari kabla haijatokea na leo our boys when taking corners left us exposed kwa sababu we dont have a sweeper DM.. Kama unakumbuka vyema Fabby was not the fastest uwanjani lakini aliweza kusoma chap sana hatari itakua wapi na wakati gani na wapi awepo kusaidia especially akiwa Robbo na Trent wapo up forward attacking...
Tazama clip za peak Fabby/Mascherano na utaelewa tunachokosa uwanjani kwa sasa...

Tumeshinda ndio ni vyema pointi 3 muhimu sana ugenini huku ikiwa ni kocha wa kwanza mpya Liverpool kushinda mechi ya mchana ufunguzi wa Ligi tangu 1992..lakini bado sipo convinced kabisa na nilichokiona uwanjani leo...

1st half was damn poor by our standards.. Na uzuri bwana Slot hakua na maneno ya akiba half time kakiwasha haswa huko vyumbani.

YNWA
 
The fact we were hot contenders January 2024 lakini by May 2024 we not even in 2nd position tells you that we are lacking... Haya mambo yako wazi sana tutashinda ndio lakin pale January mech zinakuja kwa mwendo kasi ndio utalewa kwamba tupo na mapungufu...
Kumbukeni mechi ya Atalanta yaani walituchana tukatoa macho balaa lakini ukweli ni kwamba that was coming na few months we were out of FA, out of EPL race, out of Europa na rest was history... Sasa tunasema tusifike huko wanunue mkata umeme mapema hii tuwe salama kati kati...
Muhimu mkumbuke Slot ni muumini wa kumiliki mpira na kupanga mikakati kwa kucheza hivyo anahitaji ballers na pale Liverpool ni ishu.. Unless iwe ni tactical master touch ya Slot na jopo lake sioni tukiwa contender msimu huu.

YNWA
 
Mascherano na Alonso ndio walinifanya nikaipenda Liverpool

Dah hii ilikuwa ni miamba uwanjani
 
Vya contender vitoe kichwani, labda ufanyike usajili mahususi
 
😂😂😂Wazee wa kazi.. Alonso alikua Dynamic HM kazi kazi akiwa na Gerrard... Pata picha sasa yupo baller Macca na Domy waletewe pale kati mwamba kama Mascherano itakua balaa ndugu..


YNWA
Nakuambia hawa matajiri hawaelewi tunavyoipenda hii timu, wanakatisha tamaa sana

Dah DM ni wa muhimu kama wako serious
 

Naelewa na nili observe hayo yote, aerial duels we were poor, second balls we were poor.

But do you thinks its only DM could solve all this error and poor performance from first half.??? Embu jiulize mbona hapakufanyika changes yoyote ya MF but we changed na ku clear hizo errors without having DM??

Bro Mambo mawili aliyoambiwa Slot alipofika EPL ni:
Epl in intense sana na jambo la pili ni;

Klopp anachukia early kick off and he was totally disagree with it, mentality kama hii as coach even its preparation za mechi kwa hizi early kick off ni different. He hated so much aliambukiza mpaka wachezaji kuchikia early kick off tukaambukizaa hadi mashabiki kuichukia early kick off.

Psychologically nje ya tactical we were already tortured with early kick offs. Moja ya kitu aliwaambia Slot after poorly 1st half ni pamoja win more aerial duels, win more second balls, waache na mindset about early kick off ni mechi kama mechi nyingine. Sub aliyoifanya ni kumtoa Quansah ambaye aliteseka ku win aerial duels, kama hauishindi aerial duels same time second balls hauzishindi utakuwa umebaki na nini?? Torture tu.

Good thing hawakutuadhibu.

Kwa maelezo hayo mie ni miongoni tunaotaka tupate natural monster DM, sipingani na any income.

Concern yangu ni ubora alio nao Slot wa kimaamuzi anamshinda mbali sana Klopp kwenye hiyo angle. It was rare Klopp amtoe mchezaji kwa bad performance

Robbo alitolewa
Trent alitolewa ngumu sana Klopp kufanya sub hizi.

Nunez jana hajacheza under Klopp angempa atleast 15 mins. Slot ni miongoni mwa makocha haswa i real appreciated him alot.
Klopp licha ya kubaniwa fungu bado alikuwa na uwezo wa kubeba makombe kwa ku deal na details ndogo ndogo sana.

Arne Slot outlined what he believes needs to change and the improvements he is hoping to see in the players:

“From what I’ve seen from the boys in pre-season and also in training sessions, they sometimes have to be a bit better aware of the risk-reward. And by that I mean, sometimes they take so much risk on a difficult ball that can only lead five metres up the pitch.

“And if you can put someone in front of the goalkeeper, take as much risk as you want but they sometimes tend to over-risk simple passes.”

“I’m not sure if they’ve learned it but most of them are quite young. Young players always want to go to goal in every second of the game, which is sometimes a good thing to do.” (TNT)

My brother unaona alichokiongea Slot ni smalle details tu sio tofauti sana na Klopp ila ina impact kubwa sana kwenye mpira.
Klopp hakuwa na strong natural DM option ilikuwa double pivot, Endo na Macca ili kumaintain Endo’s energy. Kuna muda tulipaswa ku slower our game ku possess sana kuliko riadha ili kulinda energy ya players.

Klopp kwa miaka yake aliyokosa ubingwa ukiacha makando kando, ni pale pale Feb-April/May, why tulikumbwa na fatigue ya maana sana, his style inahitaji energetic and atheletics players all the time, kitu ambacho under FSG haukipati best solution ni kuwa na uwezo wa kutumia ulichonacho.

Pep anatuacha wapi? Squad management anaamini last 8 games ndipo ubingwa ulipa which is true. Of course we can’t deny his squad muscles but his strategy work very well. Sometimes football small details zitakupa mafanikio makubwa ndicho anachofanya Slot currently. Hana wa kukumbatia.

N.B

Bila DM and LCB we will struggle and be another season of regrets injuries zikituanza kutuandama,
But but but, I Myself feel so comfortable having Slot as our coach, hana ego, na anashaurika.

YNWA
 

Mechi ya kama ya Atalanta si tulikubaliana na Klopp alituchoma na poor squad selection?? Na tukawahiwa hapo hapo Anfield ikawa basi
2nd leg ikawa too late.

Fa knockout vs Utd same scenario unakumbuka subs alizofanya Klopp kilitokea nini??

But good thing Slot alisema; kikosi ni kizuri ila kutokana na mashindano kuwa mengi itakuwa ngumu kuyamudu hivyo atashangazwa kama hatutasajili. Man this guys is so so so Open. Its up for Yankees kufungua pochi na biashara ifanyike.

Top three we will be, ila kuwa contender tunahitaji step up ya

Nunez
Diaz
Gakpo.

Magoli yakitoka kwa Jota (not guarantee you 10 matches consecutively) na Salah inakuwa mbaya mana wakikosekana tuna athirika.

What we need ni depth, LCB DM na any versatile foward player.

YNWA.
 
Bwana Edward kwenye kuanalyse data zake bado ajaona DM anaefaa mfumo wa Slot dunian kote tofaut na Zubimend. Ahahaaaaa

Hiyo kazi amemuachia Richard Hughes. But but kama Club inafikirisha kidogo, kuna loads of DM ambao wanaweza kufita vizuri kwenye mfumo wa Slot. Kuna yule Mbrazili Andre Trindade, Ederson wa Atalanta, Varela from Porto.

Hawa ni wazuri tu,
 

Nadhani tumuache klop apumzike

Maisha yake ndani ya Liverpool yashapita

Tukitaka kumuongelea slot kwa reference za klop haitakua sawa

Slot aongelewe kwa kile anachodeliver au atakachodeliver from now on until the end of his contract

Maana kila makala ya slot lazima klop atajwe

Let's judge slot kutokana na kazi anayofanya bila ya kulinganisha na klop

Maoni yangu
 
Upo sahihi ishu ni kwamba tazama bench jana uone unamtoa MF yupi aafu uingize yupi, in short tuna benchi dhaifu sana... By the way concern yangu ni pale mechi zitakuja kwa mwendo kasi January mpaka May 2025 sielewi tutakua na hali gani pale tusipoweza kurekebisha kwenye usajili huu, Slot aje na mbinu zipi lakini kwa mfumo wake atapata tu changamoto kwa kua ni muumini wa kumiliki mpira akipanga mikakati maana anakaribisha mpinzani aje kuusaka mpira na EPL hua hizo ni kuongeza majeruhi tu hakuna namna... Ni mapema sana kuona pia hawa wachezaji wata evolve haraka kiasi gani mentaly kuachana na kile walichofundishwa na Klopp.. Kwa mfano Trent kumwaambia apunguze ovalap nk... Some old habit are hard to die man nwa we all want the best lakin sio kua wasidikizaji...

Lets give th bald head gaffer some games tuone namna vijana wanalewa upya mfumo.

YNWA
 
Bwana Edward kwenye kuanalyse data zake bado ajaona DM anaefaa mfumo wa Slot dunian kote tofaut na Zubimend. Ahahaaaaa
FSG wana kamsemo fulani hua wanakaeneza kwa kutumia vibaraka wao.. Utasikia.... "FSG will only buy when the price is good and the deal is super good...." tofauti na hapo wapo tayari dirisha lipite bila kununua sasa unajiuliza walikua na maana gani kutuletea Thiago kwa mshahara ule kama kweli wanafanya homework yao vyema....
I have come to realise FSG wapo very overrated wapo kimaslahi zaidi.... May they prove me wrong...

Some Bad deals chini ya FSG ni ifuatavyo kumnunua Thiago,... Henderson kubakia mpaka Gerrard akatuokoa, kumng'ang'ania Matip, Lalllan, Keita, Milner, Ox...
Kuwaachia Fabby, Gini na Mane wakiwa na ubora wao.

We Need lady luck guys..

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…