Mate kindly review again hii mechi utaona kabisa aganist a more lethal team kama Arsenal hii gemu tungefungwo...
Cheki tukipata kona na tukapokonywa mpira how they broke us down yaani ilikua so easy kwa sababu hatuna DM au HM mwenye namba yake.. Kazi kuu ya DM hua nikusoma hatari kabla haijatokea na leo our boys when taking corners left us exposed kwa sababu we dont have a sweeper DM.. Kama unakumbuka vyema Fabby was not the fastest uwanjani lakini aliweza kusoma chap sana hatari itakua wapi na wakati gani na wapi awepo kusaidia especially akiwa Robbo na Trent wapo up forward attacking...
Tazama clip za peak Fabby/Mascherano na utaelewa tunachokosa uwanjani kwa sasa...
Tumeshinda ndio ni vyema pointi 3 muhimu sana ugenini huku ikiwa ni kocha wa kwanza mpya Liverpool kushinda mechi ya mchana ufunguzi wa Ligi tangu 1992..lakini bado sipo convinced kabisa na nilichokiona uwanjani leo...
1st half was damn poor by our standards.. Na uzuri bwana Slot hakua na maneno ya akiba half time kakiwasha haswa huko vyumbani.
YNWA
Naelewa na nili observe hayo yote, aerial duels we were poor, second balls we were poor.
But do you thinks its only DM could solve all this error and poor performance from first half.??? Embu jiulize mbona hapakufanyika changes yoyote ya MF but we changed na ku clear hizo errors without having DM??
Bro Mambo mawili aliyoambiwa Slot alipofika EPL ni:
Epl in intense sana na jambo la pili ni;
Klopp anachukia early kick off and he was totally disagree with it, mentality kama hii as coach even its preparation za mechi kwa hizi early kick off ni different. He hated so much aliambukiza mpaka wachezaji kuchikia early kick off tukaambukizaa hadi mashabiki kuichukia early kick off.
Psychologically nje ya tactical we were already tortured with early kick offs. Moja ya kitu aliwaambia Slot after poorly 1st half ni pamoja win more aerial duels, win more second balls, waache na mindset about early kick off ni mechi kama mechi nyingine. Sub aliyoifanya ni kumtoa Quansah ambaye aliteseka ku win aerial duels, kama hauishindi aerial duels same time second balls hauzishindi utakuwa umebaki na nini?? Torture tu.
Good thing hawakutuadhibu.
Kwa maelezo hayo mie ni miongoni tunaotaka tupate natural monster DM, sipingani na any income.
Concern yangu ni ubora alio nao Slot wa kimaamuzi anamshinda mbali sana Klopp kwenye hiyo angle. It was rare Klopp amtoe mchezaji kwa bad performance
Robbo alitolewa
Trent alitolewa ngumu sana Klopp kufanya sub hizi.
Nunez jana hajacheza under Klopp angempa atleast 15 mins. Slot ni miongoni mwa makocha haswa i real appreciated him alot.
Klopp licha ya kubaniwa fungu bado alikuwa na uwezo wa kubeba makombe kwa ku deal na details ndogo ndogo sana.
Arne Slot outlined what he believes needs to change and the improvements he is hoping to see in the players:
“From what I’ve seen from the boys in pre-season and also in training sessions, they sometimes have to be a bit better aware of the risk-reward. And by that I mean, sometimes they take so much risk on a difficult ball that can only lead five metres up the pitch.
“And if you can put someone in front of the goalkeeper, take as much risk as you want but they sometimes tend to over-risk simple passes.”
“I’m not sure if they’ve learned it but most of them are quite young. Young players always want to go to goal in every second of the game, which is sometimes a good thing to do.” (TNT)
My brother unaona alichokiongea Slot ni smalle details tu sio tofauti sana na Klopp ila ina impact kubwa sana kwenye mpira.
Klopp hakuwa na strong natural DM option ilikuwa double pivot, Endo na Macca ili kumaintain Endo’s energy. Kuna muda tulipaswa ku slower our game ku possess sana kuliko riadha ili kulinda energy ya players.
Klopp kwa miaka yake aliyokosa ubingwa ukiacha makando kando, ni pale pale Feb-April/May, why tulikumbwa na fatigue ya maana sana, his style inahitaji energetic and atheletics players all the time, kitu ambacho under FSG haukipati best solution ni kuwa na uwezo wa kutumia ulichonacho.
Pep anatuacha wapi? Squad management anaamini last 8 games ndipo ubingwa ulipa which is true. Of course we can’t deny his squad muscles but his strategy work very well. Sometimes football small details zitakupa mafanikio makubwa ndicho anachofanya Slot currently. Hana wa kukumbatia.
N.B
Bila DM and LCB we will struggle and be another season of regrets injuries zikituanza kutuandama,
But but but, I Myself feel so comfortable having Slot as our coach, hana ego, na anashaurika.
YNWA