Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Naelewa ila ni ngumu kumtenga Klopp na Slot katika kujudge uwezo wa Klopp its obvious kwenye maisha yetu.

Ni sawa na wewe unavyosema tulipaswa kuboresha 2019 kikosi tukafeli ni ngumu sana mjadala wa Slot umkwepe Klopp why,? Amemrithi hata kiti hakijapoa.

Sawa sawa tunavyoongelea kuhusu DM reference ni Fabinho, why tunatamani wa kumrithi. Hata Slot soon atashika era yake na Klopp ataacha kutajwa. Arsenal wameacha kumtaja Wenger as reference ya Arteta ila season yake ya kwanza Arteta alifananishwa na Wenger katika mijadala.
Refer Fergie vs Moyes its just obvious, and automatic even in our normal life, hard to separate previous and currently.

Utakufa tu wenyewe pole pole usiwe na shaka especially Slot akizidi kufanya vyema, ila akiboronga mjadala utaibuka kuhusu yeye na Klopp.

YNWA
 

Weakness yetu obvious ni depth. Sijui kwa nini FSG hawalioni hili.

Kwenye miaka 9 ya Klopp tulipo mchukua Diaz pale tuliona raha na depth and quality Thiago alikuwa fiti that season, ile comeback vs Villareal ni sababu ya depth. Depth depth depth has been always our challange. Unaweza kusema tuliingia mkataba wa kutokuwa na depth yaani tuwe na 14 players wazuri hivi baasi wengine tuunge unge. Kipindi cha Benitez hivyo hivyo ila bahati hakuwa na injury prone wengi alikuwa na watu wa kazi na bench ilikuwa uhakika kuwa na atleast 3-4 quality players,

Its like a cycle na huwa nahifia hili ila wenye mammlaka hawalioni
 
Hawa kwao kushuriki UCL ni ushindi tosha...
Edwards nilifurahi sana alivyorejea kwamba usajili utakua wa uhakika lakini mmh muda utasema.

YNWA

Naona kuna plan ya kuunda timu mpya baada after season moja au mbili hivi, naona wameanza na Alisson replacement baada ya msimu mmoja au miwili, which means Kelleher is likely to be sold or stay as 2nd GK.

What about Robbo, Vvd and Salah??

Vipi kuhusu Vvd, Trent and Salah contract situations??

Kuna source inasema LFC wanaangalia option za NAFASI zingine, huenda tusijali DM this TW, tukasajili maeneo mengine kama kuongeza kiungo mmoja wa kati, LCB na LW,.

Two weeks will tell us.

YNWA
 

Huo msemo watu wameuchoka kama juzi timu imeshinda ila unaona kelele za Sign DM, sign players, FSG OUT. Tatizo wale kops wa pale Anfield they are too loyal to LFC, watakachoamua wao ni ok they cant dare to put pressure.

Deal mbovu ilikuwa kumuuza Gini aise he was our Engine na aliondoka bado akiwa fiti kimwili na kiakili. Kuwang’ang’ania Henderson na Milner kwa muda mrefu hii ni Mr. Jurgen mwenyewe aliamua atakaa nao na akataka Hendo na Gomez wapewe Long contract, Milner ndio ikwa mmoja, miwili, same to Matip Klopp alimkubali sana, ni kweli akiwa fiti utaona umwamba wake ila injuries,. Kuwang’ang’ani Keita na Ox sijui ni mawazo ya nani haya, yaani unashindwa kuelewa hivi kuna wataalumu wa mambo haya au kuna 10%??

Bora Milner na Hendo walikuwa wanaonekana Keita, Ox, Thiago na kwenye payroll wapo ila kwenye mbilinge uwanjani huwaoni.
 

Via Echo

Fenway Sports Group are once again being criticised by certain sections of the club’s fanbase for their approach in the transfer market.

The Reds remain the only side in the Premier League yet to sign a player this summer.

In truth, Liverpool’s recruitment has been limited in recent years as the club made minor additions to improve their playing squad.

But with such a stance in contrast to their big-spending rivals, there is a frustration in a fanbase that has often seen their side fall narrowly short

That frustration has grown this summer after being rejected by Martin Zubimendi, and seeing a number of targets move elsewhere in recent years

But how have Liverpool’s own recruitment team felt about the level of investment on offer to them?


Dr. Ian Graham, the Reds’ former Director of Research, has no complaints.


Ian Graham

“Fenway have always invested in the club, but they want to spend their money wisely, which is something that I don't disagree with,”

“There’s a very unfair caricature of FSG. They're always very happy to invest in the team, but the team's got to be self-sufficient to a certain degree.

“I think they've shown with their capital infrastructure projects, like two stadium expansions, new training ground, they're very happy to invest in the team if they can see the money's being wisely spent.”

“I can't speak for Fenway but I can give my view. And I think I think in a similar way to Fenway.

“There are two ways you spend your money as a football club - In the transfer market and on player wages. And the transfer market is a very inefficient way to spend money.”

“In the book, I've got a chapter on the transfer market and how terribly inefficient it is. I think even before I joined Liverpool, Fenway had probably come to the same conclusion that it's a bad way of spending money.

“Now, the other way you spend money is through player wages. And that's where the bulk of the money goes.

“You don't read too much about it but 65% on average in the Premier League on wages, 25% on transfers.”

“And some of that transfer money is made back through sales as well. And what Fenway did demonstrate is that they're very happy to spend on wages.”

“So as Liverpool progressed from Champions League contenders in 2016/17 to champions in 2019/20 and regular later stages of the Champions League participants, they demonstrated that they were willing to fund that in terms of wages.“

“So our star players earned star player money because that's what it takes to keep them at Liverpool.

“And from a statistical and a financial point of view, that is a way of spending money that is more correlated with success than transfer fees.

“A pound is a pound, it doesn't matter how it gets spent.

“You should just look at the total amount of money that gets spent. If you add wages onto transfer fees, Fenway spends more than most fans think they spend.”

“We still spend less than the Manchester clubs. competing against Manchester City was an incredibly difficult task. And everything needed to go right”

“In order to help do that, we had to be perfect in everything we did. We couldn't make mistakes.

“And how data helps with that is it gives you more intelligence, more insight, a wider view of the transfer market, hopefully a more rational view of the transfer market to, first of all, stop making mistakes.

“Stop wasting money on players that aren't right for your team or players that might arrive for a large transfer fee and leave for nothing a couple of years later.

“So using data was an edge. But we had a super scouting department.

“We obviously had a super manager. We had super owners who invested in the stadium, improving that as well.

“So yeah, a very, very hard job to win the Premier League when Pep Guardiola's around.

“Fenway are unfairly maligned but I was happy to stick with the financial program for 11 years, which hopefully said something.”
 
Timu iuzwe kwa waarabu na sisi tufurahi hawa wamarekani wanazingua
 

Ingelikua mbinu kama mbinu zinaweza Kusolve matatizo ya Timu Klopp angekuwa na UCL 3, EPL 6 na UEL 2.

But licha ya kuwa ni Genius kwenye mbinu ameshindwa kufanikisha chochote! Sababu unajua ni nini? Jibu ni USAJILI.
Narudia tena jibu ni usajili.

Kombe 1 la UCL na 1 la EPL ni matokeo ya usajili uliofanywa baada ya kuuzwa Coutinho.

Bila ya usajili sahihi hakuna miujiza kwenye Football.
 
Liverpool hawataki kusajili ili wakipata matokeo mabaya wasingizie kuwa wamespend kidogo au hawana harasa au vitabu vya pesa zimebalance.
Visingizio kibao vitatolewa; habati nzuri Liverpool halisi wanakifahamu kingereza vizuri...hapa jukwaani lugha itabadilika na kuwa kama sehemu ya kugonga Lugha ya bwana tu.
Liverpool isajali ili wapenda mpira wapate burudani.
 

Kuna mambo Klopp kajichelewesha mwenyewe, wewe ni miongoni mwa waliomlaumu sana sana sana Klopp.

Kati ya Klopp na Pep nani ana mbinu?? Jibu utakuwa umepata, tumeshuhudia several times tukiumia vs Pep hata tukiwa full team. Mechi tuliyomuumiza Pep full control out of result ni last match at Anfield 1-1.

Binafsi naweza kukataa Klopp sio genius kwa kiwango hicho kwenye mbinu.
Uliwahi kusema hivi pia those days kipindi tunapasuka vs Napoli, under Ancelotti. Klopp has one plan always, ATTACK , ATTACK, ATTACK, RB & LB wana overlap kuongeza idadi ya players kwenye eneo la ushambuliaji, hii imekuwa Silaha yake all years pale LFC. Ndio maana aliamua kuwapigisha RCB & RCM kazi ya kumlinda TAA. It was about Energy and Athletic kwa Klopp. Ndio maana historia inatuonesha makombe hayo aliyapoteza from FEB-APRIL. Thats why it looks easier last two season kucheza na Klopp quite Simple.

Kuhusu Milner, Henderson, Thiago, Ox, Keita, Matip, Gomez hawa ni machaguo ya Klopp hata aliposhauriwa aachane nao aliwakingia kifua wabaki atawatumia.
2023 summer Klopp alitaka Milner, Matip, Bobby waongezewe mkataba kama mmiliki utamuamulia kocha wakati anajua kukuliko wewe? Ila FSG hapo walisema No kwake.

It was last season Klopp alikubali mwenyewe kumkosea Gakpo na Elliot katika positions zao, kocha mwenye mbinu its rare kufanya off positions ila kwa Klopp off position kwake ilikuwa sehemu yake ya mpira.

Szobo & Macca they are World Class player but under Klopp tulijionea hali yao ilivyokuwepo. Hizi ni sababu nakataa Klopp alikuwa genius wa mbinu.

Genius wa mbinu huweza kupanga ile line up vs Atalant 1st leg at Anfield. Si underrate uwezo wa Klopp ila kuna vingi tu alijiumiza mwenyewe.

Usajili its a 50/50 solution, utd & chelsea wanafanya balaa sokoni, ila output. ?? Wote tunawaona.

Solution sio usajili tu, uwe na usajili unaoendana na mahitaji ya timu uwe na kocha mwenye uwezo wa kuwatumia ipasavyo hao wachezaji. Top Top Coach.
 

Mkuu kwa hoja yako ya Liverpool haitaki kusajili ili timu ikifanya vibaya wapate sababu.

No No No hapa nakukatalia.
Kutosajili kwa Liverpool ni ubahili wa FSG tu hawana sababu ya msingi.

Labda nikuulize hao wanaotaka wapate sababu ni FSG?? Edward? Hughes? Slot? Marques? Mashabiki ?

Under Klopp tumewahi kuwa na scenario kama hii tukaishia na “panic buy”.

Unakumbuka 2020/2021 tulikuwa na 60% ya injuries wa first eleven kati yao 100% ya senior CB’s hawakuwepo, as a team what did we do? Tuliishia kumpata Kabak na Davies of which hawakutumika, tukarudi Academy kumchukua Philips na Ryhs Williams,. Hiyo ni under Klopp ambapo wahusika waliopo sasa wengi hawapo.

Msimu huu hayupo Klopp na hali kama za huko nyuma zinajirudia na staff waliokuwepo kipindi kile hivi sasa majority hawapo, maana yake kuna aliyekuwepo kwenye vipindi hivi viwili na bado yupo maana yake huyo ndio tatizo na sio mwingine ni FSG.

But according to Graham anawasifia FSG katika kuendesha timu. Ameongea mengi kuhusu FSG na kusema wana spend sana tofauti na mashabiki wanavyofikiri. Misimu miwili nyuma ilisemekana LFC inalipa vizuri ukiweka na bonus ndio maana Graham kasema ukiweka na transfer fees plus wages ni pesa nyingi sana.

Sasa swali langu tunakosea wapi tusiwe na depth?? Kwa sababu nje ya kisajili ni ngumu kusema tuna atleast 20 senior players ambao they are ready for premier league. Its like a never ending cycle

Anyway two weeks to go, ngoja nikasome andiko la Dr. Ian Graham hasa suala la usajili.
 

Ni wazi Nunez lilikuwa chaguo la Klopp na sio la wengi.

Bahati mbaya Nunez alimuangusha Klopp kwenye muda aliomuhitaji. Anyway he is a good player though he needs to calm himself down, na huu huenda ikawa msimu wake wa Mwisho kwa sababu tatu

1. Slot hana mchezaji kipenzi lazima uwepo
2. Slot anamkubali Jota over him incase Jota atakua injury free for next four months
3. Akipata nafasi ya kucheza na aendelee kukosa nafasi nyingi nyepesi na muhimu.
 
While Jota is a more consistent finisher in front of goal, he does not have the natural gifts that Nunez does.
Darwin has his counterpart beat in pace, size, power, jumping ability and audacious scoring range. However, both players have very good attacking sense and typically put themselves in very dangerous areas whenever possible

Nunez has an incredible work-rate that has gone a long way to holding off a lot of the naysayers as he will always put in a shift.
He is a clear matchwinner when he is fully locked in and firing and those kind of players do not come around very often and Liverpool would be lucky to have him.
This explosive element to his game makes him invaluable to a Reds side that will inevitably find itself in a handful of nail biters throughout the season where this dynamic player is needed. Darwin must show he is that guy.

It's a win-win for Liverpool if both play well

The saying; "steel sharpens steel" is a good one for this siutation. If Slot has two center-forwards that are pushing each other to be the best versions of themselves, the club will be the one to reap those benefits.
Jota and Nunez are more than capable of each scoring 20+ goals this season as there will be no shortage of competitive fixtures to run through.
While Jota battles fitness issues and Darwin has finishing woes, neither player is perfect. However, if both can redline their own game's, the Reds attack could very well become perfect as a whole.
It's up to the coaching staff to put them in the right roles and ultimately, it will come down to Nunez if he wants to displace those ahead of him and show the world his true worth. I for one, very much hope to see that happen.
 
Nunez msimu huu asipokiwasha nitamuelewa huyo mzee Graham
 
Muache Klopp kaka, ni wachezaji wangapi aliwataka na FSG kumkwamisha?

Usajili ni chanzo mojawapo kilichomkwamisha Klopp
 
Ian ndio alikua supremo kitengo cha data pale Liverpool miaka yote ya Klopp I guess.
I
Nunez na Firmino ni wachezaji wawili tofauti kabisa na kama walisajili iwe like for like bila kubadili mfumo then walikua wanategemea miujiza.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…