Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

🔴⚪️ Official, confirmed. Bobby Clark leaves Liverpool to join Pep Lijnders at RB Salzburg.

Fee £10m and 17.5% sell-on clause as package — as #LFC will also have right of first refusal.
All the best kwake.
Bora akapate dakika huko.

YNWA
 
Japo Nunez strong aspect hua ni kucheza lone 9 na sikumbuki kama Klopp hili alijaribu angalau kumpa hio nafasi lakini hata mfumo mwingine alikua incorporated vyema tu na nafasi za kutosha bila kufunga magoli, ni wenge mwingi sana kutaka ku prove a point, na ile price tag played a key role kwake... Sitegemei msimu huu awe kama last season maana itakua nafasi ya mwisho kwake aisee... Pazuri ni kwanba Nunez amekua sasa mchezeshaji akitoa nafasi kwa wengine..

To be fair i I'll pick Martinez any day of week kwa mfumo wetu chini ya Klopp maana he is more of a complete player kuliko Nunez... Ana vi element vya Firmino.. Ukitazama yake na Lukaku back then utaona.

YNWA
 

Keita,
Matip
Milner
Bobby

Hawa Klopp alitaka kuendelea nao, ndio mahali FSG ety wakaingilia kati wakasema waondoke.

Mtu kama Thiago na Ox dah.!!! Sikatai kuwa FSG ni bahili ila kuna ubahili wenye tija.
Kwa mujibu wa Dr. Ian Graham tuna super Scouting na hili nakubaliana nae, ila wengi hawafunguki zaidi kwa nini deals zetu zinafeli licha ya kuwaona wachezaji wazuri kwa jicho la kiufundi.


Kwanye miundo mbinu ya klabu FSG wanafanya poa sana ila ndani ya uwanja ni kipengele sana. Na kama kuna wamiliki wenye bahati basi ni hawa FSG.
Kwa sababu ya ustaarabu ya mashabiki wa LFC timu haina pressure kubwa ila pressure wanajitafutia wenyewe.

Kuna wachezaji wazuri wengi tu wa £35m-£60m suala la kufungua pochi tu na kulegeza pochi.

This season nimechagua upande wa kutojipa pressure kubwa na matarajio makubwa.
 
Video hii hapa The MoNA unaweza kuendelea kutoa maelezo mkuu

View attachment 3076111

Hapo naona tukio ni la sehemu moja tu ni one occasion, ningetamani kuona limejirudia zaidi ya mara 10 ndipo tungeona ooh yeah kuna kitu tofauti.

Hilo tukio ni la mara moja ndio maana Skysport wana hiyo video ya mara moja ya tukio hilo hakuna sehemu imetokea zaidi ya hilo. Of which unakuta upo situation tukio limekukuta upo off pattern itabidi tu uendeleze ulipokutiwa na tukio…!!!

Binafsi sijaona kipya kwenye tukio hilo, ila ngoja tuone vs Brentford nini kitatokea. Tutaanza kujuzana kama kweli itatokea.

Up reds
YNWA
 
[emoji837][emoji836]️ Official, confirmed. Bobby Clark leaves Liverpool to join Pep Lijnders at RB Salzburg.

Fee £10m and 17.5% sell-on clause as package — as #LFC will also have right of first refusal.

Good deal.
 

Hata mimi ningepita na Martinez, ni mule mule Firmino, Aguero hivi, over Nunez.

Klopp aliwahi kujaribu hiyo lone 9 ile season ya kwanza Nunez kufika kwa kumchezesha Salah much wide kitu ambacho hakikuonekana kufanya kazi, japo hii ilikuwa idea ya Lijnder. Baada ya hapo Klopp aliendelea kumuota bobby yule all day in day out. Gakpo, Nunez, Jota na mara nyingine Diaz kuwachezesha hiyo role ya Bobby ila hakuna aliyeiweza.

Let Bobby be Bobby.

Up red
YNWA
 
Wataalam nisaidieni hilo swali hapo juu nimeukuta huo mjadala Sky Sport kati ya Gary Neville na Carragher.
King Ngwaba
The MoNA
Captain Marvelous
Na Wana Liverpool wengine
Sijafuatilia kwa Kina lakin kwa nionavyo Allison kwa miguu sio mzuri ki vile wote tuna kumbukumbu kadhaa ametuchomesha na hayo mambo ya play from the back....
Mpaka gemu ya kumi hivi nitaku update vyema kwamba ni mbinu zake ama ni sadfa.

YNWA
 
Vijana wa Klop wamekataa kufanya usajili wanaanza ligi na good hope...kama msimu uliyoisha performance ilikuwa chini sababu ya usajili na majeruhi.
Mtapigwa kama ngoma nawaambia; ngoja mpate majeruh ya beki na kiungo.
 
Baada ya kukumbuka kutoka 2017 mpaka 2022 tumesaini MF wanne Fabby mzima na hawa watatu wagonjwa yaani Ox, Thiago na Keita nimemstuka kwamba hata hii idara ya scouting ipo overrated kabisaa maana end product ni ushindi murwa wa EPL na UCL lakini tazama tu tumeshinda 2 huku tuking'ang'ania wachezaji mizigo...

Tazama Ox alichezea Liverpool gemu 146 akafunga goli 18 na kutoa assist 13 mpaka anaodoka June 2023. Alidumu Liverpool misimu 7. Ina alicheza wastani wa gemu 19 kwa msimu. Hii haikumbaliki. Tangu anatoka Gunners history yake ya kuumia mara kwa mara ilikua wazi.

Tazama Keita alicheza gemu 129 akafunga goli 11 na kutoa assist 6 Alidumu klabuni misimu 6.

Mwamba Gini amechezamu 237 kwa misimu 6 Liverpool ni wastani wa gemu 39 kwa msimu.
Akifunga goli 22 na assit 15.

YNWA
 
wamemuuza Sep Berg kwenda brentford kwa 20....
hawa wanakusanya visenti vifike 50 wanunue kiungo

Good deal. Mahali nakubaliana na Edward ni hapo kwenye biashara. Jamaa anaushawishi kwenye eneo hili, kwa kushirikiana na Hughes.

Carvalho—-> £27m to Brentford
S.V.D. Berg—->£25m plus add-ons to Brentford
Clark—-> £10m to RB Salzburg
Blair—->£300k to Portsmouth

Total £62.3M

Tukiongeza £30M tunapata 2 quality players na mmoja squad player.

Hakuna muda sahihi wa kuuza wachezaji kwenye academy kama huu, ile injury crisis ya last season ilipandisha thamani yao kubwa. Msimu huu kuna wengi tu hawatapata nafasi kama ile ya last season. I’m pretty sure bila ile injury crisis kuna wengi tu tusingewaona uwanjani. Its the right time kuwauza.

Angalia biashara kama hiyo kwa hao academic player exclude Carvalho, kwa philosophy ya sell to buy inafit why? Hatujauza senior yoyote mpaka sasa hivyo hakuna athari za moja kwa moja, isipokuwa tu bila kuuza senior players bado tunahitaji 2-3 players LCB and DM is a must.

Up red
YNWA
 
Sijafuatilia kwa Kina lakin kwa nionavyo Allison kwa miguu sio mzuri ki vile wote tuna kumbukumbu kadhaa ametuchomesha na hayo mambo ya play from the back....
Mpaka gemu ya kumi hivi nitaku update vyema kwamba ni mbinu zake ama ni sadfa.

YNWA

Its a naked truth mate, Alisson has no good footwork…!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…