Dr. Ian Graham alikuja pale toka 2013 ndipo alianza maisha na Liverpool.
Of course yes Nunez na Bobby ni two different players in term of style of playing, calmness, composure yake na jinsi anaweza kujimiliki.
Kwa mujibu Graham ni kama kulikuwa na mvutano hivi kuna wa Nunez na Martinez ila mwisho wakaamua kwa Nunez, ni chaguo sahihi sana kama tu kulikuwa na idea ya kubadili mfumo kwa ajili ya kupata ubora wa Nunez ili kuisaidia timu. Kwa idea ya Nunez kucheza kama Bobby ni ngumu sana let Pastor Bobby be Bobby, Salah & Mane enjoyed having this dude. Kama City kutoka kwa Aguero to Halaand ilibidi tu Pep abadilike kidogo kwa ajili yake, and it paid him, kwa Nunez it was about himself not a coach issue.
Finishing mbovu ya Nunez ndio imefanya ionekane kama it was a wrong move, binafsi it was a right move, he has that quality for sure.