Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Binafsi niliona baada ya kutua Klopp tulikua bora kileleni kwa kulinganisha ta ulipokua especially enzi ya Fergie yupo moto fire yaaani kwa Klopp kutua na tukawa hatuchezi mbali na ubingwa aa the feeling was good at least... Ishu tu FSG hawakujua how lucky kua na yule Kocha klabuni kwani Klopp ni Mwalimu ni brand pia yupo muliti talented..
Hawa ma cult heroes wa Klopp ilikua wanatembelea nyota ya wengine.. Ukihitaji kutaja wachezaji wenye bahati duniani lazima Henderson awe wa kwanza.

YNWA
 
Lastborn wa Klopp
Bebe wangu Trent
Anune apasuke
slot shikilia hapohapo
Hakuna kubembeleza mtu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Yaani kavuruge halafu kasitolewe

Slot baba kipara
We wakizingua
Weka bench
Hakuna mwenye hatimiliki ya namba

Pale lastborn wanaenda kuwa watoto wa kambo๐Ÿ˜‚
 
Slot kanyaga twende๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
umerudi mamaaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Slot Stat.... No wonder ma Yankees wanatulia tuli.

Liverpool vs Brentford tulikamlisha pasi asilimia 92 ikiwa na rekodi mpya kwetu. Mara ya mwisho kukamilisha pasi kama vile ilikua msimu wa 2003/04.

Liverpool vs Ipswich vijana wa Slot wameweka rekodi kwa 'kugusa' mpira mara 50 ndani ya box ya Ipswich ikiwa na rekodi kwa kocha mpya gemu ya kwanza EPL.

Mashabiki 60,107 walihudhuria gemu ya Liverpool vs Brentford ikiwa ni rekodi mpya kwa uwanja wa Anfield gemu ya league.

YNWA
 
Ninaamini tuna Scouting Department bora zaidi barani Ulaya kwa sababu.

1.Huwezi kuwa na scouting team mbovu ukasajili wachezaji 10 na katika yao 9 wakawa successful.

2.Huwezi kuwa na scouting mbovu ukasajili wachezaji ambao bei zao ni almost nusu ya bei za soko na wakakupa kiwango zaidi ya wale walionunuliwa kwa bei kubwa.

Tuna scouting team bora sana Ulaya ndo maana tumekuwa very successful sokoni kwa zaidi ya 90%.

Tujiulize ๐Ÿค”

1.Scouts waliomuona Robo unasemaje wabovu??

2.Scouts waliomuona Salah wanakuwaje hawajui

3.Scouts waliomuona Sobo au Macca wanakuwaje wabovu??

4.Scouts waliomsajili Tsimikas wanamuwaje wabovu?

5.Scouts waliomuona Slot over all big name coaches wanakuwaje hawajui kazi??

6.Scouts waliomwambia Klopp asubiri deal la VVD na si beki mwingine, wanakuwaje wabovu??

7.Nani alimjua Jota tunayemsifia kama aiyo hao scouts ambao hawajui??

8.Scouts hawa waliomuona Konate over all big names defenders??

9.Scouts hawa waliochungulia kipaji cha Bajcetic kule Spain akiwa ni beki wa kati akaja kubadilishwa kuwa kiungo, hawa waliomuona Elliot pale Fulham, leo ni mmoja wa wachezaji bora vijana Uingereza.

Scouts ambao so far wanaifanya Liverpool kupata quality ya kushindana kwenye ligi na timu tajiri zikiwa zimenunua kwa bei ghali lkn tumekuwa kwenye ushindani kwa miaka 10 mfululizo.
 
Wana Liverpool wenzangu
Mimi nakubaliana na sera za timu yetu kwenye usajili, lakini ninachopingana nacho kwenye kuchelewa kumaliza deals. Wana nyatia sana na kubembeleza sana bei.

Wishes za mashabiki ni kuona timu inasajili sana, lakini tunaona watu wanavyofeli sokoni kwa sajili za kukurupuka. (Manchester utd, Chelsea) Hiyo ni mifano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ