Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naomba huo ujumbe Mkuu hata screenshot yake.
Nunez ni wa kuombewa kwa kweli kuna clear chance aliikosa sijui alidhani yuko offside?
Na camera zikaelekezwa kwa Slot na Slot alionekana kuchukia

Siwezi kuipata haraka nikikutana nayo nitafanya hivyo mkuu
 

Ujue Trent anaona hafaia kufanyiwa sub kwa sababu ambazo ni zangu naziona

1. Senior RB
2. English player (wana hali ya kujiona wanahaki na ligi yao, especially wakiwa kwenye timu kubwa)
3. I’m vice captain, & scouser.

Akubaliane na hali tu.

Slotball to the sky.

Up reds
YNWA
 

Hata kwa Gillette na Hinks baada ya kuwa kwenye top form na karabia kabisa kuchallange major trophies…!!!

Ndio tukaona Alonso, Mascherano, Arbeloa, wakaondoka msimu ambao tulihitaji walau 2-3 players tuingie miguu yote kuchallange, na ndipo likawa Anguko rasmi mpaka alipokuja Klopp kututoa huko shimino.!!!

Mkuu ukiangalia Edward namkubali sana toka alipokubaliwa na Klopp kuwa Sporting director, deals zake ni za muda mrefu.

Ukiangalia Origi tulimchukua tukamuacha huko whole season akaja msimu unaofuata, maana yake unawapa room wenye timu kutafuta mbadala, same kwa Keita, injury zilizima ubora wake kuonekana with LFC jersey, we waited VVD msimu mzima ili kumpata. Hizi ni deals anazozipenda Edward. Klopp alipohitaji mchezaji Edward alihusika juu chini kumleta. Wameanza na Georgi Mamardashvili good GK kwenye saves ni mzuri sana ila weakness yake ni kama ya beckor akiwa na mpira mguuni (footwork) he is young 23yrs anaweza kudevelope. Ngoja tuone mipango ya CB’s na Salah replacements.

Caicedo for 115m mhhh, sidhani kama tulikuwa willing, ila tungemsajili hopefully for installment hata ya 3 yrs. Caicedo mwenyewe aliongea kuhusu deal lile last week tu hapo. Jamaa anachosema ilikuwa ngumu kuikataa Chelsea kwenda LFC, japo alikuwa pia yupo tayari kwenda LFC.
Agent wake alicheza karata ya tamaa sana kwa Caicedo.
 

Year in year out, Henderson will be a luckiest LFC player ever to wear captain armband.

Jamaa alikutana na kocha mpole sana, kocha mwenye kujua kudekeza na kulea wachezaji kama watoto wake na sio kama kazi.

Up red
YNWA
 

Heheheh babe [emoji3590] hakuzoea haya maisha toka ameanza professional career yake.!!!

Hapo lazima watu wajifunze kuwa wakomavu, Si umeona Diaz ameanza kuliona goli sasa na kuwa na maamuzi sahihi zaidi.?? Anajua hapo ukileta utoto mbao ndefu inakusubiri.

By the You were missing alot”,.
 
Slot Stat.... No wonder ma Yankees wanatulia tuli.







YNWA

Slot gari lake nilipanda toka pre season ila sijui tutaishia wapi season hii nahitaji mechi 6 zijazo nitaona mwelekeo. Its early to predict but

Slotball to the Sky.

Huyu amekuja kutatua changamoto zilizomuangusha Klopp,. Ikiwemo kubembeleza wachezaji, kuwaonea aibu, na moja ambayo ni nzuri zaidi ni SPACE & TIME,.. matumizi ya muda na nafasi. No wonder hizo touches kwenye opponent box kuwa nyingi na kukamilisha pasi nyingi vs Brentford hapo ni matumizi ya NAFASI & MUDA, ambayo inatokana na kuwa na Combination plays (patterns, individual brilliance), kwa system hii unahitaji wachezaji mafundi sana hasa kwenye eneo la kiungo. No wonder why Graven anafanya vizuri kwenye hiyo role ya double pivot. Graven huyu huyu kwenye Klopp system angeshaogeshwa matusi…!!! Mambo ya Space and Time yana mbeba sana, hapo ndipo kipaji chake kilipo.

Nilisema moja ya wachezaji watakaofanya vzur under slot ni pamoja na
Graven,
Szobo,
Elliot,
Gakpo
Diaz,
Quansah,
Bradley

Wanaweza kupata game time ya kutosha

Wengine wataendeleza ubora wao tu kama tuujuavyo
Trent
Vvd
Konate
Salah
Robbo
Tsimi
Beckor

Up red YNWA
 
Upo sahihi Edwards hua ana staili yake ya kusaka wachezaji lakini tutakumbaliana hio staili yake ina favour zaidi FSG kuliko sisi Mashabiki maana tuna EPL moja ndugu tangu atue Klopp, tupime ubora wake kwa makombe anayoleta klabuni na si vinginevyo ndugu, nakua na maoni tofauti kidogo nikilinganisha tulipo kwa kucheki EPL na UCL nk inanipa ugumu sana kuona kama kweli tulistahili tu kupata kombe moja epl chini ya Klopp na kwa mwendo huu wa usajili naona Slot akipita mule mule kwa Klopp aisee. Ni kweli sio kila changamoto inakua solved na usajili lakini tazama asubuhi ya leo unaamka kusoma Morton na Bajetic wapo mbioni kusepa Liverpool wakiwa angalau ndio pekee wenye vi element ya uDm ndani yao maana Edo sitegemei atupe gemu za kutosha huku Gravenberch akiwa ndio makeshift wa Slot.. May we be lucky aisee otherwise its real danger gemu zikianza kuchanganya sioni tukikwepa ya Atlanta.

Kuna Ederson pale Atlanta alikua Upgrade ya hawa wa kwetu lakin utasikia Liverpool hainunui ili mradi kununua na hapo Kipara anasaka EPL ya tano hatanii aisee...

Tukumbali kua wasidikizaji hakuna namna.

Soon Slot atapewa wake up call ataelewa why Klopp had to quit akiwa na the so called complete squad.. Maana kama kweli kikosi ni complete iweje tumalize nafasi ya 3 na kakombe kamoja huku tukikosa mengine matatu...
Kuna mahala Klopp alipishana na Edwards maana iweje Edwards alivyorejea na Klopp akasepa labda Klopp aliona mambo yakusubiri usajili mwaka yanarejea na alishachoka.

YNWA
 

Robert Firmino “Bobby”
Beckor
Gini
Fabinho
Origi (G.O.A.T)

If it wasn’t FSG we would have had this players;

->Tchoumeni
->Camavinga
->Rodrygo (huyu Edward na jopo lake walimuona akiwa na 17 yrs na walipaswa kutoa onlu 3M jamaa akaamua kubaki tu kwao).
-> Mbappe
-> Enzo
-> Guimaraes
-> Belligham

Hawa na wengine tuliwa scout ila ishu ikabaki Pesa tu, FSG wakatia ujuaji wa kibahili, tukaishia kuwa na Milner, Henderson, Keita, Ox, Thiago, Matip all these years, wakiwa ni injury prones, wengine avarage quality, na mtu kama Milner age.

Up red YWNA
 
Tsimikas nae ana ubora?😳😳
 
The MoNA
MosDef
Captain Marvelous
Kwanini huwa tunachelewa sana kumalizia deals na huwa tunavizia sana kwenye suala la bei? Hii mnaionaje maana nyinyi ni wafuatiliaji sana na mna sources nyingi za uhakika

Sina jibu la uhakika ila kuna sababu kadhaa wa kadhaa kwa nini iko hivi;-

1. Utamaduni.

Tumekuwa na ka utamaduni ka kutokuwa na kikosi kikubwa chukulia tu kwa Klopp miaka yake tisa aliyokaa, tumekuwa na wachezaje wale wale baada ya kuijenga timu yake aliyoitaka.

Beckor
Trent
Vvd
Matip
Robbo

Miaka yake ya mafanikio amekuwa na hawa mpaka sasa ni mmoja tu ameondoka.

60% ya aliokuwa nao miaka 4-6 iliyopita ndio ilimalizika kuondoka msimu juzi.

Gini, Fabinho, Henderson, Milner, Ox, Keita, waka na ingizo jipya.

Hivyo tunaona pride kuwa na wachezaji wale wale for years wenye nia ya kupigania jersey ya timu.

Kwa LFC mchezaji akishaipenda timu ngumu sana asichezeshwe. All this years nafasi ya Henderson ililindwa kwa kutosajiliwa kiungo mwingine, why?? Scouser ameshakubaliwa kwenye tamaduni hapo.

Front three same Mane, Bobby and Salah ilidumu almost 5-7 years bila kuwa challanged na like to like signing, baada ya Mane kuondoka ndipo akaja Diaz na Jota na baadae Nunez kuchukua viatu vya Bobby. Bafikiri tumekua hivi miaka mingi sasa. Hata LFC ya Benitez ilikuwa hivi hivi season in season out Gerrard, Alonso, Mascerano, Kuyt, Torres, Tunachezea humo humo na atleast 15 quality players.

2.Pride

Tunapenda mchezaji mwenye nia ya dhati kabisa ya kupigania timu bila kuangalia maslahi binafsi kwanza. Ndio maana unaona hatulazimishi signings endapo mchezaji hataonesha nia yoyote ya kuichezea klabu.

3. Cash
Hapa ndipo penyewe kuna vitu vingi vinawekwa kwenye mkataba hasa vinavyohusu sell back on clause na player bonuses, hii ni negotiation ambayo unahitaji oil money au mtu kama perez ambaya hafikiri mengi zaidi ya mafanikio ya timu ndani ya uwanja kwanza.

Kwenye Era ya Gillette na Hinks

Nakumbuka Benitez alipendekeza Gareth Barry kutoka Villa aje LFC kuchukua no. ya Alonso ambaye alishaondoka klabuni, kwenda Madrid kwa £30M. Gareth angetugharimu only £10m tukaenda na msimamo wa £8m Villa wakakataa msimu uliofuata akaenda City kwa £12m. It was 2009 hili deal lilitusumbua. Baada ya kumkosa Barry tukaenda kwa Aquillani for £20m. Tukamkoaa Barry for £10m tukaenda kwa Aquillani for £20m na hakuwa chaguo sahihi. Hapo kocha akiwa Benitez.

It has been this way years labda LFC ile ya miaka 70’s 80’s and 90’s..!! Ambayo wengi hatujaishuhudia vyema.

We care alot about team pride than players, LIVERPOOL its a cult, ndio maana Kops wanamsemo its not a football club its a FAMILY.

Angalia City walibeba four EPL consecutively, lakini Klopp’s farewell ceremony ilitazamwa na watu zaidi kuliko City’s Triump..!!!

Angalia LFC akibeba FA & Carabao wanaweka parade jiji zima la Liverpool linakuwa red in colour.

Hata wenye mamlaka wanafuata nyayo hizo,.

Price,
Pride,
Culture, katika selection ya wachezaji.

Up red YNWA
 
Dah umenikumbusha Aquillan yule nae alipuyanga tu duh magarasa yamepita mengi sana, kipindi hicho nilikuwa naipenda Liverpool kufa kuzikana

Spearing, Aspas, Glen Jonson dah
 
Asante sana mkuu na hapo namba 3 je ina relate na policy inayoitwa money ball utawaelewa inayitumiwa na FSG ?
 

Mimi naweza kuwa na sababu kadha wa kadha, niki judge kitabu kwa its cover. Klopp alikuwa ndiye mwenye kusema huyu asepe na huyu abaki. Kama ni hivyo hauoni ni sahihi kusema Klopp alitusababisha maumivu kuwakumbatia Injury prones wengi wenye huge wages??

Ox
Keita
Thiago
Matip

Hapo utasema unaweza kugombea chochote?? Mid yako ni Hendo, Milner, Jones,Elliot, na late Fabinho?? Kweli?? Ilikuwa uwongo.

Ukiangalia hapo Kipara alishaachana na Fernandinho, Ferdinand, Toure, Karibu miaka 5 huko nyuma, hao ni viungo tu backline karibu yote iliyompa 2-3 EPL alishaibomoa, kaleta damu changa miguu ya chuma anakiwasha, sisi tunajipa muda labda msimu huu watakaa sawa. Hapa ndipo tulikosea sana sana.

Halafu kati ya Klopp na Edward, Klopp ndio wa kwanza kuondoka na sio baada ya Edward kurudi.

Kumbuka Klopp alitaka kuondoka toka November wakambembeleza January akaja kufunguka, Edward alianza kufuataa Feb mpaka Marcha akakubali the deal. Utofauti wa Edward na Klopp upo kwenye usajili. Edward hakutaka Henderson, Milner na Gomez waongezwe mkataba, Na akatoa optiona zake, Bruno Guimaraes na Enzo Fernandez replacement ya Hendo na Milner, but we all know nani alishinda battle na nani alishinda vita, Edward lost the battle but won the war, Klopp won the battle but lost the war.

Kwa hapa tu ilikuwa ngumu kwa sytem ya Klopp uwe vile vile season in season out.
Mtu kama Salah achunguzwe fitness yake sio mchezo.
Henderseon ( as a team captain, aka geuka injury prone last two season, Klopp alizidi kumuamini huku stats zake zikionesha haziibebi timu)

Mane, Fabinho massively dropped their forms.

Klopp system ilihitaji atleast 2-3 players fresh legs after atleast two seasons, ila hatukufanya hivyo tuliishia kuwa na kina Melo, Kabak, Davies hapa hata kama ni wewe Pep unafanyaje,, ?? Una vuta wine unakunywa pole pole unajua atanisumbua mechi tutakayokuta baasi huko kwingine nitamuacha tu.
Huge praise kwa Klopp kukomaa na Pep licha ya kuwa na Mediocre players.

Sitaki kusema lolote kuhusu signing but what i feel, tutakuwa na less injuries with less long term injuries.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…