Hata Benteke ananafuu kaka, naona output ni Balotelli hivi,
Asante Mkuu naona The MoNA alifafanua vizuri kwenye post #143,515Kufeli kwa Manure Sokoni au Chelsea sio kigezo wala sababu hata kidogo inayopaswa kutufanya sisi tusisajili kwa uhakika.
Kaka nakubali umekubaliana na sera za usajili kwasababu huna Option nyengine ndiyomana umeamua kukubali matokeo.
Kipindi wanasajiliwa kina Alison, Salah, Mane, VVD, Fabinho, Keita tukabeba Makombe naamini pia ulikubaliana na sera za usajili za wakati huo za kuingia sokoni.
Lakini kwa sasa hatusajili pia unakubaliana na sera zetu za usajili, tukianza tena kumwaga hela sokoni utakubaliana tena na sera za usajili.
Slot hamtaki huyuWinning Trophies at Arsenal? 😂😂
Siku akitoka Man Utd akaenda timu nyingine ndio tutajua shida ipo kwake ama ni uongozi wa timu yakeETH anatufanya wenye vipara sote tuonekane hatuna uwezo wowote
kwamba unamkubali sana👨👦Dah kuna uwezekano nikahamia Liverpool kwa mkopo, usajili wa Chiesa ukikamilika.
kwamba unamkubali sana👨👦
ni injury pronekwa maana jamaa humuelewi ama?
Tayar karbDah kuna uwezekano nikahamia Liverpool kwa mkopo, usajili wa Chiesa ukikamilika.
Another Arthur melo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtaalam wa kudili na hizi injuries anaitwa Reuben Pieters anaweza kudili na hii case kwa weledi kabisa tulishawahi kulijadili hili jambo humuAnother Arthur melo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwaelewa usajili wa FSG ina bidii uwe full scouser ili kale kamsemo kao... "na hili lita pita"..... Uweze kukaelewa.ni injury prone
Tayar karb