Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG-20240828-WA0008.jpg
 
Kufeli kwa Manure Sokoni au Chelsea sio kigezo wala sababu hata kidogo inayopaswa kutufanya sisi tusisajili kwa uhakika.

Kaka nakubali umekubaliana na sera za usajili kwasababu huna Option nyengine ndiyomana umeamua kukubali matokeo.

Kipindi wanasajiliwa kina Alison, Salah, Mane, VVD, Fabinho, Keita tukabeba Makombe naamini pia ulikubaliana na sera za usajili za wakati huo za kuingia sokoni.
Lakini kwa sasa hatusajili pia unakubaliana na sera zetu za usajili, tukianza tena kumwaga hela sokoni utakubaliana tena na sera za usajili.
Asante Mkuu naona The MoNA alifafanua vizuri kwenye post #143,515
 
ni injury prone
Kuwaelewa usajili wa FSG ina bidii uwe full scouser ili kale kamsemo kao... "na hili lita pita"..... Uweze kukaelewa.
Mahitaji yetu ni DM mmoja, RW mmoja na CBL mmoja lakin FSG kama FSG haoooo wametuletea kipa na LW mmoja ambao sio priority kwa sasa. Hii ndio shinda kujiona ni bora zaidi ya wengine.... Yaani katika ligi 5 bora za Europe kweli tumekosa DM mmoja anaeuzwa bei rafiki mpaka tuambiwa bla bla...

Kwa Chiesa ni maombi tu kwamba tuwe tumesajili yule Chiesa wa miaka hioo na sio huyu wa sasa mwenye Kukosa kujiamini


YNWA
 
Back
Top Bottom