Klop hakuanza kuwatumia academy players kwa sababu ya majeraha ya senior players,klop alianza na utamaduni wa kuwatumia academy players kwenye mechi za vikombe kama carabao na fa huku tukiwa hata hatuna majeruhi wa hivyo,kwenye ligi msimu huu ndio angalau wametumika sababu ya hizo injuries
Hapo kwa Musialowski umenifanya niikumbuke generation ya akina Krizstian Adorjan, Suso, Raheem, McLaughin na Conor Coady asee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Andre uyo wolves daah.
Kwa chiesa madaktar wajiandae mgonjwa mwingine kaja
Hiyo Ndio sababu juventus wamemuuza.hakuna kitu hapo mkuu yale yale ya Arthur,Huyu Chiesa akitimiza mechi 5 mfululizo tu kucheza bila ya kuumia nitahesabu amefanikiwa sana msimu huu